-
Wairan wenye kuomboleza kwa huzuni wamuaga kiongozi mkuu wa Hamas, wakiapa kulipiza kisasiTEHRAN - Watu kutoka makundi mbalimbali ya mji mkuu wa Iran, Tehran siku ya Alhamisi walifanya shughuli ya ibada ya kumbukumbu ya Mkuu wa Ofisi ya Siasa wa Kundi la Hamas, Ismail Haniyeh aliyeuawa katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel siku moja kabla ambapo shguhuli hiyo ilianza rasmi saa 2:00 asubuhi kwa saa za huko. (0430 GMT) katika Chuo Kikuu cha Tehran. Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei aliongoza ibada hiyo ya kumbukumbu ya mkuu huyo wa Hamas na mlinzi wake, ambaye pia aliuawa k
02-08-2024
-
Wacheza tenisi wa China waweka historia, Biles aipa Marekani medali ya pili ya dhahabu kwenye mchezo wa jimnastiki
Zheng Qinwen wa China akishindana kwenye nusu fainali ya mchezo wa tenisi kwa mchezaji mmoja mmoja kwa wanawake dhidi ya Iga Swiatek wa Poland kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris Agosti 1, 2024. (Xinhua/Gao Jing) PARIS – Mcheza tenisi kipenzi wa China Zheng Qinwen amemhudhunisha mchezaji wa nafasi ya kwanza duniani Iga Swiatek wa Poland na kufika fainali ya mchezo huo kwa mchezaji mmoja mmoja kwa wanawake, huku wenzake Wang Xinyu na Zhang Zhizhen pia wakiweka historia kwa kuingia fainali ya mche
02-08-2024
-
Nchi za Mashariki ya Kati zalaani kuuawa kwa kiongozi wa Hamas katika mji mkuu wa Iran
Watu wakishiriki kwenye maandamano ya kupinga kuuawa kisiri kwa Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Kundi la Hamas katika mji wa Hebron, kando ya Magharibi ya Mto Jordan, Julai 31, 2024. (Picha na Mamoun Wazwaz/Xinhua) CAIRO - Nchi za Mashariki ya Kati siku ya Jumatano zimelaani vikali shambulio linalodaiwa kufanywa na Israel lililomuua Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Kundi la Hamas katika mji mkuu wa Iran, Tehran ambapo taarifa ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Ira
01-08-2024
-
Masoud Pezeshkian aapishwa kuwa Rais wa Iran
Masoud Pezeshkian (katikati) akiwasili kwenye hafla ya kuapishwa kwake katika bunge mjini Tehran, Iran, Julai 30, 2024. (Xinhua/Shadati) TEHRAN - Masoud Pezeshkian ameapishwa kuwa rais wa awamu ya tisa wa Iran siku ya Jumanne katika hafla iliyofanyika kwenye bunge mjini Tehran, ambapo maofisa wa ngazi za juu, makamanda wa kijeshi na wawakilishi kutoka nchi 88 na mashirika 10 ya kimataifa wameshiriki kwenye hafla hiyo, shirika la habari la Iran, IRNA limeripoti. Kufuatia kiapo chake hicho mbele y
31-07-2024
-
Deni la taifa la Marekani lazidi dola trilioni 35 kwa mara ya kwanza
Picha iliyopigwa Oktoba 9, 2023 ikionyesha Ikulu ya Marekani huko Washington, D.C., Marekani. (Xinhua/Liu Jie) WASHINGTON - Jumla ya deni la umma la serikali kuu ya Marekani imepita dola za Kimarekani trilioni 35 kwa mara ya kwanza, kama ilivyorekodiwa mwishoni mwa wiki iliyopita, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Fedha ya Marekani siku ya Jumatatu. Jumla ya deni la umma lililopo imepanda hadi kufikia dola za Kimarekani trilioni 35 siku ya Ijumaa, kwa mujibu wa Taarifa mpya ya Kila
30-07-2024
-
Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
PARIS – Jionee mkusanyiko wetu wa picha zenye kujumuisha washindi mbalimbali wa medali za dhahabu ambao wameonyesha vipaji vyao vya kipekee na ustadi murua wa kimichezo katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024. Hebu tusherehekee mabingwa hawa na mafanikio yao ya kushangaza!
30-07-2024
-
China inapenda kuzidisha ushirikiano wa ngazi ya juu na IOC: Makamu Rais wa China
Makamu Rais wa China Han Zheng, ambaye pia ni mwakilishi maalum wa Rais Xi Jinping wa China, akikutana na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC), Thomas Bach mjini Paris, Ufaransa, Julai 27, 2024. (Xinhua/Pang Xinglei) PARIS - China inapenda kuzidisha na kupanua ushirikiano wa ngazi ya juu na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC), wakati ambapo nchi hiyo itakuwa mwenyeji wa Michezo ya Majira ya Baridi ya Asia mwaka ujao, Makamu Rais wa China Han Zheng amesema mjini Paris siku ya Jumamosi
29-07-2024
-
China yatoa wito wa kutaka ASEAN kushikilia matarajio ya amani, njia ya ASEAN na kuhimiza amani na utulivu wa kikanda
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, ambaye pia ni mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akihudhuria mkutano wa 31 wa mawaziri wa mambo ya nje wa Baraza la Kikanda la Jumuiya ya Nchi za Asia Kusini Mashariki (ASEAN) huko Vientiane, Laos, Julai 27, 2024. (Picha na Kaikeo Saiyasane/ Xinhua) VIENTIANE - Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi siku ya Jumamosi kwenye mkutano wa 31 wa mawaziri wa mambo ya nje wa Baraza la Kikanda la Jumuiya ya Nchi za As
29-07-2024
-
Ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 yafanyika
Ufunguzi wa Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya Joto ulifanyika tarehe 26, Julai kwa saa za Paris huko Paris, Ufaransa.
27-07-2024
-
Watu kutoka sekta mbalimbali nchini Vietnam watoa heshima za mwisho kwa kiongozi mkuu, marehemu Nguyen Phu Trong
HANOI – Hafla ya kutoa heshima za mwisho kwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) marehemu Nguyen Phu Trong aliyefariki hivi karibui imeanza siku ya Alhamisi katika mji mkuu wa Vietnam, Hanoi ambapo hafla ya kushusha bendera ya taifa nusu mlingoti ilifanyika saa 12:00 jioni kwa saa za Hanoi (2300 GMT siku ya Jumatano) kwenye uwanja wa Da Dinh. Nchi nzima ya Vietnam itakuwa na kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa siku mbili za Alhamisi na leo Ijumaa. Mashirika yot
26-07-2024