-
Mwanariadha nyota wa Kenya Kipyegon katika matarajio ya kushinda medali za dhahabuFaith Kipyegon wa Kenya akishangilia baada ya kushinda katika fainali ya mbio za wanawake za mita 1500 wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 kwenye Uwanja wa Olimpiki wa Tokyo Agosti 6, 2021. (Picha na Ben STANSALL/VCG) Nairobi – Kenya inatarajia mavuno makubwa ya medali katika Michezo ya Olimpiki ya Paris kutoka timu yake mashuhuri ya wanariadha, lakini mwanariadha wake nyota Faith Chepngetich Kipyegon anaweza huhisi uzito zaidi juu ya mabega yake kuliko wengine, kwa kuwa anatarajiwa kush
05-08-2024
-
Tanzania yaimarisha usimamizi mpakani baada ya ugonjwa wa mpox kuripotiwa katika nchi jirani
Wizara ya Afya ya Tanzania imesema Tanzania imeimarisha usimamizi na udhibiti kwenye vituo vya kuingia na kutoka nchini humo baada ya maambukizi ya mpox kuripotiwa katika nchi jirani za Burundi, Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya ya Tanzania Englibert Kayombo amesema siku ya Jumapili kuwa, timu za wafanyakazi wa afya zimetumwa kwenye vituo vya mpakani nchini humo, ili kuimarisha usimamizi na udhibiti dhidi ya maradhi
05-08-2024
-
Tume ya misaada ya Sudan yakanusha kuwepo njaa katika kambi ya IDP Kaskazini mwa Jimbo la Darfur
Tume ya Misaada ya Kibinadamu ya Sudan (HAC) imekanusha madai ya kuwepo njaa huko Zamzam, moja ya kambi kubwa zaidi za wakimbizi wa ndani katika Jimbo la Darfur Kaskazini magharibi mwa Sudan. Katika taarifa yake iliyotolewa Jumapili, tume hiyo imesema kilichoelezwa katika ripoti ya Mtandao wa Mifumo ya Tahadhari ya Mapema ya Njaa (FEWS NET) hakina ukweli wowote. Taarifa hiyo imeongeza kuwa ripoti ya HAC katika Jimbo la Darfur Kaskazini ya Agosti 3 ilionesha kuwa ziara ya pamoja ya mashirika husi
05-08-2024
-
Viongozi wa Somalia wavitaka vyombo vya usalama kuwa macho huku idadi ya vifo kwenye shambulizi la kigaidi ikifikia 35
Picha hii iliyopigwa Agosti 3, 2024 ikionyesha eneo la ufukwe karibu na hoteli ya Lido Beach huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia. (Picha na Hassan Bashi/Xinhua) MOGADISHU - Viongozi wa Somalia wametoa wito siku ya Jumamosi kwa vyombo vya usalama vya nchi hiyo kuendelea kuwa makini kufuatia shambulizi la kikatili la kundi la al-Shabab kwenye hoteli maarufu ya Lido Beach View katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu Ijumaa usiku ambapo shambulizi hilo la kujitoa mhanga lililolenga hoteli hiyo limesab
05-08-2024
-
Watu 17 wauawa katika mashambulizi ya vikosi vya RSF nchini Sudan
Watu takriban 17 wameuawa katika mashambulizi mawili yaliyofanywa na Vikosi vya Mwitikio wa Haraka (RSF) kwenye vijiji viwili vya jimbo la Gezira katikati mwa Sudan. Kamati ya vita vya upinzani ya Wad Madani, mji mkuu wa Gezira imesema katika taarifa kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa wanamgambo wa RSF walivamia kijiji cha Al-Adnab wakiwa na misafara mikubwa ya kijeshi kwa lengo la kupora na kufanyia ukatili raia na kwamba watu zaidi ya 10 wameuawa kutokana na shambulizi hilo. Aidha kamati hiy
02-08-2024
-
Treni za kutumia umeme za SGR za Tanzania zaanza kutoa huduma kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amezindua rasmi huduma za treni ya kutumia umeme ya Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma jana Alhamisi. Safari za majaribio kati ya miji hiyo miwili zilianza mwezi uliopita. Rais Samia amepanda treni hiyo na kuwasili Dodoma baada ya safari ya saa tatu na nusu. Amesema, mwendokasi mkubwa wa treni hiyo utapunguza kwa kiasi kikubwa muda wa kusafiri na kurahisisha usafiri wenye ufanisi wa watu na mizigo nchini Tanzania. Rais Samia
02-08-2024
-
Wataalamu wakutana nchini Kenya ili kuoanisha viwango vya bidhaa barani Afrika
Wataalamu wa Afrika wanakutana huko Nairobi, mji mkuu wa Kenya kuanzia siku ya Alhamisi kwenye Mkutano Mkuu wa 17 wa Mfumo wa Metrolojia wa Afrika na Mkutano wa Kiufundi, ili kujadili kuhusu njia za kuoanisha viwango vya bidhaa barani humo. Mkutano huo ulioanza Alhamis na umepangwa kuendelea kwa siku tano, umewaleta pamoja maofisa wa Umoja wa Afrika na mamlaka za udhibiti wa ubora wa viwango kutoka kote barani ili kuhimiza maendeleo ya kuoanisha viwango vya bidhaa. Katibu Mkuu wa wizara ya uweke
02-08-2024
-
Tanzania yapongeza mradi wa msaada wa China kwa kudhibiti ugonjwa wa kichocho
DAR ES SALAAM, - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar nchini Tanzania imepongeza mradi wa China wa kudhibiti ugonjwa wa kichocho, ikisema umesaidia kutokomeza ugonjwa huo katika visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi. Kwenye ziara ya kutembelea Mradi wa Msaada wa China wa Kudhibiti Ugonjwa wa Kichocho Zanzibar, viongozi mbalimbali akiwemo Habiba, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ya Zanzibar na Mratibu wa Wizara ya Afya Kisiwani Pemba, Khamis Bilali Ali wameelezea pongezi na shukrani zao za dhati. Wataalamu
02-08-2024
-
Tume ya uchaguzi ya Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi wa ubunge na urais wa mwaka 2026
Tume ya Uchaguzi ya Uganda (EC) imetoa mwongozo wa uchaguzi uliorekebishwa na kutangaza tarehe ya uchaguzi wa wabunge na rais wa mwaka 2026. Mwenyekiti wa tume hiyo ya uchaguzi Jaji Simon Byabakama amesema kuwa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge na urais utafanyika kuanzia tarehe 17 mwezi Septemba hadi terehe 3 mwezi Oktoba mwaka 2025. Ameongeza kuwa kampeni zitaanza wiki ya pili ya mwezi Oktoba mwakani, na zoezi la kupiga kura litafanyika tarehe 12 Januari mwaka 2026.
01-08-2024
-
Waziri wa mambo ya nje wa China afanya mazungumzo na mwenzake wa Zambia
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amefanya mazungumzo na mwenzake wa Zambia Bw. Mulambo Haimbe jana Jamatano hapa Beijing. Bw. Wang Yi amesema, China inaishukuru Zambia kushikilia kanuni ya kuwepo kwa China-Moja na iko tayari kuimarisha msingi wa kuaminiana, kuzidisha ushirikiano wenye matokeo halisi, na kuendelea kuungana mkono na Zambia katika masuala yanayohusu maslahi makuu ya kila mmoja wao. Bw. Wang ametoa wito kwa pande mbili kuimarisha na kuhuisha kwa pamoja Reli ya TAZARA, kur
01-08-2024