-
Shirika la ndege la Ethiopia kuimarisha miundombinu na uwezo kwa kushirikiana na kampuni za ujenzi za China
Shirika la Ndege la Ethiopia linafanya kazi ili kuimarisha miundombinu na uwezo wake kupitia mradi wa kujenga makao makuu yake mapya kwa kushirikiana na kampuni za ujenzi za China. Mradi huo ulioko katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole mjini Addis Ababa, umepangwa kukamilika mwezi Agosti mwaka 2026, na unatarajiwa kuimarisha hadhi na uwezo wa shirika hilo katika nyanja ya usafiri wa anga. Mradi huo unahusisha ujenzi wa majengo sita makuu katika hatua ya kwanza, yenye thamani ya dola za kim
31-07-2024
-
Viongozi wa CPC waweka vipaumbele vya kiuchumi kwa nusu ya pili ya Mwaka 2024
BEIJING – Viongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) wamefanya mkutano siku ya Jumanne kuchambua hali ya hivi sasa ya uchumi wa China na kuweka vipaumbele vya nusu ya pili ya mwaka huu wa 2024, ambapo Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya CPC, aliongoza mkutano huo wa Ofisi ya Siasa ya kamati hiyo kuu. Uchumi wa China kwa ujumla umekuwa shwari na kupata maendeleo tokea mwaka huu, taarifa iliyotolewa baada ya mkutano huo imeeleza. Taarifa hiyo imesema, nchi y
31-07-2024
-
Deni la taifa la Marekani lazidi dola trilioni 35 kwa mara ya kwanzaPicha iliyopigwa Oktoba 9, 2023 ikionyesha Ikulu ya Marekani huko Washington, D.C., Marekani. (Xinhua/Liu Jie) WASHINGTON - Jumla ya deni la umma la serikali kuu ya Marekani imepita dola za Kimarekani trilioni 35 kwa mara ya kwanza, kama ilivyorekodiwa mwishoni mwa wiki iliyopita, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Fedha ya Marekani siku ya Jumatatu. Jumla ya deni la umma lililopo imepanda hadi kufikia dola za Kimarekani trilioni 35 siku ya Ijumaa, kwa mujibu wa Taarifa mpya ya Kila
30-07-2024
-
Eneo Jipya la Lanzhou, China ladumisha ukuaji wa viwanda
Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo Jipya la Lanzhou limeanzisha miradi 1,080 ya sifa bora ya viwanda ikiwa na uwekezaji wenye thamani ya yuan jumla ya bilioni 528 (dola karibu bilioni 72.8 za Kimarekani), na ongezeko la kila mwaka la thamani ya nyongeza ya viwanda limedumisha asilimia zaidi ya 50. Kuanzia Mwaka 2011 hadi 2023, Pato la Jumla (GDP) la Eneo Jipya la Lanzhou limeongezeka kutoka chini ya yuan milioni 500 (sawa na dola za Marekani milioni 69) hadi yuan bilioni 37.5 (sawa na dola za M
29-07-2024
-
China yatangaza hatua mpya za kutumia vifaa vipya badala ya vifaa vya zamani
Picha hii iliyopigwa tarehe 24 Aprili 2024 ikionyesha mstari wa kuunganisha sehemu za magari yanayotumia nishati mpya (NEV) wa BYD, kampuni inayoongoza nchini China ya kuunda NEV, kwenye kiwanda cha BYD mjini Zhengzhou, Mkoa wa Henan, Katikati ya China. (Xinhua/Li Jianan) BEIJING – Kamati ya Kitaifa ya Maendeleo na Mageuzi ya China (NDRC), ambayo ni mpangaji mkuu wa uchumi wa China imetangaza siku ya Alhamisi hatua mpya za mpango wa kutumia vifaa vya aina mpya badala ya vifaa vya zamani, ambapo
26-07-2024
-
Kampuni za kimataifa zaidi ya 150 zajiandikisha kushiriki Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China
Hafla ya kutia saini Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China (CIIE) ikifanyika katika Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano (Shanghai), Novemba 6, 2023. (Xinhua/Fang Zhe) SHANGHAI – Kampuni za biashara za kimataifa zaidi ya 150 zimejiandikisha kushiriki Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai kwa mara ya saba, zikiwa zimeshashiriki maonyesho hayo yote yaliyopita, waandaaji wa maonyesho hayo wamesema siku ya J
25-07-2024
-
Kenya kuvutia wawekezaji wa China katika bustani ya kijani ya viwanda
Kenya inajizatiti kuvutia wawekezaji kutoka China kuanzisha shughuli zao katika eneo maalum la kijani la viwanda lililoko Naivasha, umbali mfupi kutoka mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda nchini Kenya, Abubakar Hassan Abubakar ameliambia Shirika la Habari la China, Xinhua jijini Nairobi, kuwa eneo hilo maalum la viwanda liko kwenye maeneo ya jotoardhi, ambayo ni chanzo endelevu na thabiti cha nishati. Katibu Mkuu huyo ametoa wito kwa uwekezaji
23-07-2024
-
Kampuni ya SAIC-GM-Wuling ya China yarekodi mauzo makubwa ya magari yanayotumia nishati mpya katika Nusu ya Kwanza ya Mwaka huu
Roboti ikifunga vioo vya mbele vya magari kwenye karakana ya teknolojia za kisasa ya kampuni ya kuunda magari ya SAIC-GM-Wuling ya China mjini Liuzhou, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China, Mei 9, 2024. (Xinhua/Jin Haoyuan) NANNING - SAIC-GM-Wuling (SGMW), ambayo ni kampuni ya ubia ya uundaji magari kati ya kampuni za SAIC Motor, General Motors na Liuzhou Wuling Motors, imerekodi mauzo makubwa ya magari ya nishati mpya (NEV) katika miezi sita ya kwanza ya Mwaka 2
23-07-2024
-
Jukwaa la huduma zote katika sehemu moja la China lafungua ofisi nchini Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Gilead Teri akizungumza kwenye Tafrija ya Ushirikiano wa Uchumi na Uwekezaji kati ya Tanzania na China jijini Dar es Salaam, Tanzania, Julai 20, 2024. (Xinhua/Emmanuel Herman) DAR ES SALAAM –Mfumokazi wa Huduma ya Kisheria kwa Saa Moja wa Shirika la sheria la Yingke Global la China, ambao ni jukwaa la huduma zote katika sehemu moja la China umefungua rasmi ofisi yake nchini Tanzania ili kuwapa wateja huduma mwafaka na uungaji mkono sahihi
22-07-2024
-
Njia za anga zastawisha biashara ya nje katika mkoa wa milimani wa China
Ndege ya mizigo ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Longdongbao huko Guiyang, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Julai 13, 2024. (Xinhua) GUIYANG - Kufuatia njia mpya ya ndege za mizigo inayounganisha Mji wa Guiyang katika Mkoa wa Guizhou wa China na Moscow, Russia kuanzishwa mapema mwezi huu, idadi ya njia za kimataifa za ndege za mizigo zilizounganishwa na mkoa huo wa Guizhou ulioko kusini-magharibi mwa China imefikia nne ambapo inaleta safari za ndege zenye ufanisi na rahi
22-07-2024