-
China yarusha satalaiti ya aina mpya ya huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juuXICHANG - China imetuma imerusha satalaiti ya aina mpya ya utoaji huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu siku ya Alhamisi kutoka Kituo cha Urushaji Satalaiti cha Xichang kilichoko Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China ambako satalaiti hiyo imerushwa majira ya saa 3:14 usiku (Saa za Beijing) ikibebwa na roketi ya Changzheng 3B na kufaulu kuingia kwenye obiti yake iliyopangwa kwenye anga ya juu. Urushaji huo unamaanisha safari ya 529 ya kutekeleza jukumu ya mfululizo wa roketi za Cha
02-08-2024
-
Chombo cha AS700 cha kuendeshwa angani cha China chakamilisha safari kielelezo ya kuruka anga ya chini
HUBEI - Utalii kwenye anga ya chini nchini China unaingia katika njia mpya wakati ambapo chombo cha AS700 cha kuendeshwa angani chenye umbo la puto kilichoundwa nchini China kimefanikiwa kufanya safari yake ya kwanza ya kielelezo siku ya Alhamisi asubuhi, ambapo chombo hicho kilipaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Zhanghe huko Jingmen, Mkoa wa Hubei wa China, kuonyesha ufanisi na uwezo wake katika kuhudumia utalii kwenye mbingu. Safari hiyo kielelezo ya chombo hicho ilidumu kwa saa takriban mbili, iki
02-08-2024
-
Eneo Jipya la Lanzhou, China ladumisha ukuaji wa viwanda
Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo Jipya la Lanzhou limeanzisha miradi 1,080 ya sifa bora ya viwanda ikiwa na uwekezaji wenye thamani ya yuan jumla ya bilioni 528 (dola karibu bilioni 72.8 za Kimarekani), na ongezeko la kila mwaka la thamani ya nyongeza ya viwanda limedumisha asilimia zaidi ya 50. Kuanzia Mwaka 2011 hadi 2023, Pato la Jumla (GDP) la Eneo Jipya la Lanzhou limeongezeka kutoka chini ya yuan milioni 500 (sawa na dola za Marekani milioni 69) hadi yuan bilioni 37.5 (sawa na dola za M
29-07-2024
-
Teknolojia za kisasa zaonyeshwa katika Maonesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini
KUNMING - Maonyesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini yalifunguliwa siku ya Jumanne wiki hii mjini Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China, yakivutia waonyeshaji bidhaa zaidi ya 2,000 ambapo watembeleaji wake wanaweza kufahamishwa na kujaribu vitu mbalimbali vinavyoonyeshwa ambavyo vimeundwa kwa teknolojia za kisasa katika sekta za uchumi wa kidijitali, akili bandia, nishati ya kijani, uchumi wa nyanda za chini na nyinginezo.
26-07-2024
-
Ndege kubwa ya China ya kupaa na kutua nchi kavu na majini AG600 yaanza majaribio ya uthibitishaji wa uwezo
AG600M, ndege ya zima moto inayojulikana kwa jina la "Kunlong," ikifanya onyesho la kudondosha maji kwenye Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Vyombo vya Usafiri wa Anga na Anga ya Juu ya China mjini Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Novemba 11, 2022. (Xinhua/Hong Zehua) BEIJING - Ndege kubwa ya kupaa na kutua nchi kavu na majini ya AG600 iliyoundwa kwa kujitegemea na China imeingia katika kipingi cha majaribio ya uthibitishaji wa uwezo wa usafiri angani rasmi, kiwanda cha kutengeneza nde
24-07-2024
-
Ufikiaji wa huduma ya 5G kwa Tanzania wapanuka kwa kasi na kufikia asilimia 15
Asilimia ya idadi ya watu wa Tanzania wanaofikiwa na huduma ya mawasiliano ya habari ya kizazi cha tano (5G) imepanda hadi kufikia asilimia 15 katika robo ya pili ya mwaka huu wa kalenda, kutokana na uwekezaji unaoendelea katika miundombinu ya mawasiliano nchini Tanzania. Ripoti mpya ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha kuwa mawasiliano ya 5G yamepanda kutoka asilimia 13 ya watu katika robo ya kwanza hadi asilimia 15 katika robo ya pili. Tanzania ilizindua huduma ya 5G mwaka jana
24-07-2024
-
Ndege ya China ya kupaa na kutua nchi kavu na majini AG600 yakamilisha majaribio chini ya mazingira yenye halijoto ya juu na unyevunyevu mwingi
Ndege ya zima moto ya AG600M ikichota maji kwenye majaribio ya kuchota na kudondosha maji mjini Jingmen, Mkoa wa Hubei, katikati ya China, Septemba 27, 2022. (Xinhua/Wu Zhizun) BEIJING - Ndege kubwa ya kupaa na kutua nchi kavu na majini ya AG600 iliyoundwa kwa kujitegemea na China imekamilisha majaribio ya kuweza kuhimili hali joto ya juu na unyevu mwingi, Shirika la Viwanda ya Anga la China (AVIC) limesema siku ya Alhamisi. AG600 imefanyiwa majaribio hayo, ambayo yalidumu saa karibu 2.5, siku y
19-07-2024
-
Kazi mpya ya taaluma yaibuka wakati tasnia ya Magari ya Kujiendesha bila dereva ikizidi kuendelea
Kutokana na maendeleo ya mambo ya umeme, mitandao, mageuzi ya teknolojia za kisasa, pamoja na maendeleo ya teknolojia ya vyombo kujiendesha vyenyewe bila dereva, magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva hatua kwa hatua yanakuwa uhalisia wa kawaida. Kadri tasnia hiyo inavyozidi kuendelea, wanataaluma wengi zaidi wanakuwa wajaribishaji wa magari hayo ya kujiendesha yenyewe bila dereva. Kazi ya taaluma ya "Mjaribishaji wa magari ya teknolojia za kisasa yaliyounganishwa na mtandao" imeorodheshwa ku
16-07-2024
-
Viwanda ya roboti za binadamu yapata maendeleo ya kasi na kusukuma mbele uchumi wa China
Kundi la roboti za binadamu zikionyeshwa kwenye lango la maonyesho ya Mkutano wa siku tatu wa Teknolojia za Akili Mnemba Duniani (WAIC) Mwaka 2024 mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Julai 4, 2024. (Xinhua/Fang Zhe) SHENZHEN – Ndani ya kiwanda cha magari, roboti za binadamu zenye rangi ya fedha zinasonga mbele kwenye mistari ya kuunganisha magari kiwandani, zikifanya kazi ambazo hapo awali zilikuwa zikifanywa na binadamu pekee – kuanzia kwenye uchunguzi wa gari hadi ukaguzi wa mikanda ya kiti n
16-07-2024
-
Watafiti wa China wabuni saa ya mkononi inayopima hali ya afya kwa wakati halisi papo hapo kupitia jasho
Picha iliyopigwa Juni 20, 2024 ikionesha watafiti wakijaribu saa ya mkononi ya kupima hali ya afya kupita jasho huko Hefei, Mkoa wa Anhui wa China. (Xinhua/Qu Yan) Wanasayansi kutoka Taasisi za Sayansi ya Fizikia za Hefei (HIPS) chini ya Akademia ya Sayansi ya China wamebuni saa ya mkononi inayoweza kupima kemikali muhimu kwenye jasho la mwili. Matokeo ya utafiti wao yamechapishwa katika jarida la ACS Nano. Jasho lina aina nyingi za madini muhimu, ambayo ni muhimu kwa kuunga mkono ufanyaji kazi
11-07-2024