-
Serikali ya China hairuhusu kamwe shughuli zozote haramu au za mabavu : Msemaji wa Mambo ya Nje
BEIJING - Serikali ya China hairuhusu kamwe shughuli zozote haramu au za mabavu, na China imekuwa na itaendelea kuchukua hatua madhubuti kulinda usalama wa raia wote wa kigeni nchini China, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Lin Jian amesema Alhamisi. Lin amesema hayo alipoulizwa na kutoa maoni yake kwamba ubalozi mdogo wa Japan mjini Guangzhou umetoa habari siku ya Alhamisi, ukisema kwamba mvulana wa shule aliyechomwa kisu huko Shenzhen amefariki dunia siku ya Jumatano. "Tunasikitika na
20-09-2024
-
Tunisia, Iraq zaahidi kuimarisha ushirikiano wa kitamaduni
Rais wa Tunisia Kais Saied (Kulia) akikutana na Waziri wa Utamaduni, Utalii na Mambo ya Kale wa Iraq Ahmed Fakak Al-Badrani mjini Tunis, Tunisia, Septemba 19, 2024. (Urais wa Tunisia/Kitini kupitia Xinhua) TUNIS - Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza Alhamisi kwenye mkutano na Waziri wa Utamaduni, Utalii, na Mambo ya Kale wa Iraq Ahmed Fakak Al-Badrani kwamba Tunisia iko tayari kuimarisha ushirikiano wa kitamaduni na Iraq. Kwa mujibu wa ikulu ya Tunisia, kwenye mkutano huo, Saied amesisitiza dh
20-09-2024
-
Mgogoro kati ya Israel na Hezbollah waongezeka, ukizidisha hofu za vita vya kikanda
Mfumo wa Israel wa kuzuia makombora ukizuia roketi zilizorushwa kutoka Lebanon, karibu na Kiryat Shmona, kaskazini mwa Israel, Septemba 18, 2024. (Picha kutoka CFP.CN)) JERUSALEM/BEIRUT - Mgogoro kati ya Israel na Hezbollah umeongezeka kwa kasi siku ya Alhamisi, huku pande zote mbili zikirushiana mashambulizi mabaya na kuapa kulipizana kisasi zaidi, hali ambayo inazidi kuzidisha hofu za vita vya kikanda. Katika hotuba yake kwa njia ya televisheni, kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amelaani
20-09-2024
-
Benki Kuu ya Marekani yapunguza viwango vya riba kwa alama 50, ikiwa ni mara ya kwanza katika miaka minne
Benki Kuu ya Serikali ya Marekani imepunguza viwango vya riba kwa alama 50 siku ya Jumatano kufuatia kupungua kwa mfumuko wa bei na kudhoofika kwa soko la ajira, ikiashiria kupunguzwa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka minne. Kamati ya Serikali ya Soko Wazi (FOMC) imesema katika taarifa yake kwamba, kamati hiyo imepata imani kubwa zaidi kutokana na mfumuko wa bei kuendelea kushuka kuelekea asilimia 2, na hatari za kufikia malengo yake ya ajira na mfumuko wa bei zikiwa karibu katika uwia
19-09-2024
-
UNGA yataka kukomeshwa kwa ukaliaji wa Israel huko Palestina ndani ya mwaka mmoja
UMOJA WA MATAIFA - Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepitisha azimio lisilohitaji kutiwa saini za makubaliano na pande husika siku ya Jumatano likitaka kukomeshwa kwa ukaliaji kimabavu wa Israel katika eneo la Palestina ndani ya miezi 12 ijayo kwa kuungwa mkono na nchi nyingi wanachama. Azimio hilo limepitishwa kwa kura 124 za ndiyo, 14 za hapana na 43 zilizojizuia kupiga kura, kwenye mkutano wa dharura wa 10 wa Baraza Kuu ulioangazia hatua za Israel katika Jerusalem Mashariki inayokaliwa
19-09-2024
-
China kuweka hatua za kulipiza dhidi ya kampuni za kijeshi za Marekani kwa kuliuzia silaha eneo la Taiwan
BEIJING - China imeamua kuweka hatua za kulipiza dhidi ya kampuni tisa za kijeshi za Marekani kwa kuliuzia silaha eneo la Taiwan ambalo ni sehemu ya China, uamuzi uliotolewa kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya nje ya China siku ya Jumatano umeeleza. Uamuzi huo umesema kwamba hivi karibuni Marekani imetangaza tena mpango wa kuliuzia silaha eneo la Taiwan, kitendo ambacho kinakiuka vibaya kanuni ya kuwepo kwa China moja na taarifa tatu za pamoja za China na Marekani, kinaingilia mambo ya ndani ya
19-09-2024
-
Mjumbe wa China aitaka Israel kukomesha mara moja uwepo wake kinyume cha sheria katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Fu Cong, mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa, akizungumza wakati wa kikao maalum cha dharura cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu suala la Palestina, kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Septemba 17, 2024. (Xinhua/Xie E) UMOJA WA MATAIFA - Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Fu Cong siku ya Jumanne katika kikao maalum cha dharura cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu suala la Palestina ametoa wito kwa Israel kuitikia mwito mkali wa j
18-09-2024
-
Watu wa kizazi cha wavamizi wa Japan wakati wa Vita vya Pili vya Dunia waomba msamaha kwa ukatili wa uvamizi na kutoa wito wa amani
CHANGCHUN - Chini ya bendera ya taifa la China, raia wa Japan mwenye umri wa miaka 76 Kuroi Akio amevua viatu na soksi zake na kupiga magoti kushujudu mbele ya watu wa China wakati alipoamua kuomba msamaha kwa niaba ya baba yake katika eneo la kihistoria lililoko Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China, ambako vikosi vya Japan vilifanya ukatili wakati vikiivamia China. Kabla ya siku ya kumbukumbu za Tukio la Septemba 18, Kuroi, pamoja na watu wengine wanane wa kizazi cha wanajeshi wa Japan
18-09-2024
-
Reli ya China-Laos yashughulikia mizigo ya bidhaa yenye uzito wa tani milioni 10
Picha hii iliyopigwa Agosti 9, 2022 ikionyesha malori ya usafirishaji wa bidhaa za kuvuka mpaka katika Stesheni nchini Laos ya Vientiane Kusini ya Reli ya China-Laos. (Picha na Kaikeo Saiyasane/Xinhua) KUNMING - Reli ya China-Laos hadi sasa imeshughulikia mizigo ya bidhaa zenye uzito wa tani zaidi ya milioni 10 zinazoagizwa na kuuzwa nje tangu ilipoanza kufanya kazi rasmi Desemba 2021, ambapo bidhaa hizo zina thamani ya yuan takriban bilioni 40.77 (kama dola za Marekani bilioni 5.74) kwa jumla,
18-09-2024
-
China yakaribisha washirika wengi zaidi wa nchi za Kusini kujiunga na BRICS
Mkurugenzi wa Ofisi ya mambo ya nje ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Wang Yi hivi karibuni alisema, China inakaribisha washiriki wengi zaidi wenye nia moja kutoka nchi za Kusini kujiunga na familia ya BRICS. Kwenye mazungumzo kati ya wawakilishi waandamizi wanaoshughulikia mambo ya usalama wa BRICS na nchi za Kusini, Bw. Wang alisema nchi za BRICS na nchi za Kusini zina maslahi ya pamoja katika pande nyingi. Ameongeza kuwa China inaziunga mkono nchi za BRICS kufungua mlango w
14-09-2024