-
Tasnia Maalum za Milimani Zawezesha Wanakijiji kupata Ustawi wa Pamoja
Mji mdogo wa Lingbei wa Mji wa Zhuji katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China uko maeneo ya mbali milimani. Katika miaka ya hivi karibuni, mji huo mdogo umekuwa ukitegemea sifa nzuri za mazingira yake ya asili kuendeleza tasnia maalum ya ufugaji wa kiikolojia wa kuku wa kienyeji na tasnia ya nyama ya kuku iliyobanikwa na chumvi, na kujenga mnyororo fungamanishi wa viwanda wa "ufugaji wa kiikolojia + uzalishaji wa tija + usimamizi wa pamoja + utangazaji wa chapa". Jumla ya mapato ya mji huo m
20-09-2024
-
Serikali ya China hairuhusu kamwe shughuli zozote haramu au za mabavu : Msemaji wa Mambo ya Nje
BEIJING - Serikali ya China hairuhusu kamwe shughuli zozote haramu au za mabavu, na China imekuwa na itaendelea kuchukua hatua madhubuti kulinda usalama wa raia wote wa kigeni nchini China, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Lin Jian amesema Alhamisi. Lin amesema hayo alipoulizwa na kutoa maoni yake kwamba ubalozi mdogo wa Japan mjini Guangzhou umetoa habari siku ya Alhamisi, ukisema kwamba mvulana wa shule aliyechomwa kisu huko Shenzhen amefariki dunia siku ya Jumatano. "Tunasikitika na
20-09-2024
-
China yarusha satalaiti mbili za BeiDou za uongozaji wa usafiri
Satalaiti za 59 na 60 za mfumo wa BeiDou zikirushwa majira ya saa 3:14 asubuhi (kwa saa za Beijing) kwa roketi ya kubeba ya Long March-3B na Yuanzheng-1 (Expedition-1) ya ngazi ya juu ikiwa imeunganishwa kwenye roketi hiyo ya kubeba kutoka kwenye Kituo cha Urushaji Satalaiti cha Xichang katika Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Septemba 19, 2024. (Picha na Yang Xi/Xinhua) XICHANG - China imerusha satalaiti mbili mpya za Mfumo wa Satalaiti za BeiDou-3 (BDS-3) za uongozaji wa usafiri sik
20-09-2024
-
Wanasayansi wa China waonesha kwa umma Mfano mkubwa wa kwanza duniani wa Lugha wenye vielelezo vingi katika sayansi za kijiografia
Shughuli ya kuoneshwa kwa umma kwa Sigma Jiografia, Mfano mkubwa wa Lugha wenye vielelezo vingi ya sayansi ya kijiografia (LLM) ikifanyika Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 19, 2024. (Xinhua/Li Xin) BEIJING – Mfano mkubwa wa Lugha wenye vielelezo vingi ya Sayansi ya kijiografia (LLM), ambao ni wa kwanza wa aina yake duniani, umeoneshwa kwa umma mjini Beijing siku ya Alhamisi, ambao unaweza kusaidia ufungamanishaji wa jiografia na akili bandia na kusaidia kuharakisha ugunduzi wa kijiografia. M
20-09-2024
-
Matembezi ya Mji: Kutembea katika Mtaa wa Utamaduni wa Kale wa Tianjin
Mtaa wa Utamaduni wa Kale wa Tianjin, China ambao pia unajulikana kwa jina la "Jinmen Guli", ikimaanisha " Maskani Tianjin", ni mahali pa kwanza pa Tianjin pa shughuli mbalimbali za biashara, na pia ni kituo kimoja kilichoonekana wazi kwa mila na desturi za utamaduni cha mji huo. Mtaa huu uko katika Eneo la Nankai la Tianjin na una maduka mengi yenye chapa maarufu yaliyoanzishwa zamani sana. Kwa miaka mingi, mtaa huu umepitia hatua mbalimbali kutoka kituo cha mila na desturi hadi sehemu yenye ma
20-09-2024
-
Ndege ya C919 iliyoundwa na China kwa kujitegemea yawasili Mkoa wa Xizang kwa mara ya kwanza
Ndege ya abiria ya C919 inayoendeshwa na Shirika la Ndege la China Southern ikipaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Guangzhou Baiyun siku ya Alhamisi, ikiashiria safari ya kwanza ya kibiashara ya ndege hiyo ya C919 katika Mji wa Guangzhou. (Xinhua) SHANGHAI - Ndege ya abiria ya C919 ya kuundwa China, iliyoundwa na Shirika la Ndege la Kibiashara la China (COMAC), imekamilisha safari ya kutoka Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China hadi Mkoa unaojiendesha wa Xizang siku ya Alhamisi, iki
20-09-2024
-
Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China wajiandaa kwa Kimbunga Pulasan
Vizuizi vikiwa vimewekwa katika eneo la kivutio cha watalii la Jinshatan katika Mji mdogo wa Shitang, Mji wa Wenling wa Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 19, 2024. (Picha na Xu Weijie/Xinhua) HANGZHOU - Mamlaka husika katika Mkoa wa Zhejiang mashariki mwa China zimechukua tahadhari dhidi ya kimbunga Pulasan, kimbunga cha 14 mwaka huu kuikumba China, ambacho kinatarajiwa kuleta mafuriko na mvua katika mkoa huo ambapo saa 3:30 asubuhi siku ya Alhamisi, Zhejiang ilipandisha mwitikikio
20-09-2024
-
China yashuhudia kuongezeka kwa safari za kitalii wakati wa likizo ya Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi
BEIJING - Safari za abiria takriban milioni 629.56 zimeshughulikiwa na sekta za usafirishaji nchini China wakati wa likizo ya siku tatu ya Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi ya China, ikiwa ni ongezeko la asilimia 31.1 kuliko kipindi kama hicho mwaka jana, takwimu kutoka Wizara ya Uchukuzi ya China zimeonyesha siku ya Jumatano. Kwa jumla, China imerekodi safari za abiria milioni 42.57 kwa njia ya reli, milioni 1.98 kwa maji, na milioni 5.07 kwa ndege. Safari za kutumia magari barabarani zilichukua se
19-09-2024
-
Watu wa kabila la Watibet watumbuiza Ngoma ya Xuan katika Mkoa wa Xizang, China
Ngoma ya Xuan ni urithi wa kitamaduni wa Kabila la Watibet wa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China inayotoka Ufalme wa kale wa Guge ambayo huchanganya hotuba, kuimba na kucheza. Ngoma hiyo iliingizwa katika orodha ya urithi wa utamaduni usioshikika wa China Mwaka 2008.
19-09-2024
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China akutana na Mkuu wa Umoja wa Wabunge wa Jamhuri ya Korea na China
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akikutana na Kim Tae-nyeon, Mkuu wa Umoja wa Wabunge wa Jamhuri ya Korea na China, mjini Beijing, China, Septemba 18 , 2024. (Xinhua/Yue Yuewei) BEIJING - Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amekutana na ujumbe unaoongozwa na Kim Tae-nyeon, mkuu wa Umoja wa Wabunge wa Jamhuri ya Korea na China, siku ya Jumatano mjini Beijing ambapo amesema kwamba anathamini
19-09-2024