-
Maswali kumi juu ya nadharia ya "Uzalishaji wa China kupita Mahitaji ya Soko"
28-04-2024
-
Maoni: Kuzidisha ushirikiano na kampuni za China ili kusaidia maendeleo ya NEVs zilizounganishwa teknolojia ya kisasa ya China kufikia kiwango kipya
Katika miaka ya hivi karibuni, soko la magari yanayotumia nishati mpya (NEVs) la China limepata maendeleo ya haraka. Mwaka 2020 soko lilitabiriwa kuwa magari yanayotumia nishati mpya yatachukua 25% ya jumla ya mauzo ya magari ya China hadi ifikapo Mwaka 2025. Lakini kutokana na hali ya hivi sasa, makadirio hayo yamebadilika, magari hayo sasa yatachukua nusu ya jumla ya mauzo ya magari ya China mwaka mzima 2025, na kiwango hicho kitakuwa cha juu zaidi hadi kufikia 75% mwaka 2030, huku magari yana
28-04-2024
-
Kuupa lebo kwa kuupaka matope uwezo wa uzalishaji wa kijani wa China ni kujifelisha mwenyewe kwa kutazama uhalisia uliopo
Kwa miaka tisa mfululizo, China imeshika nafasi ya kwanza duniani katika uundaji na uuzaji wa magari yanayotumia nishati mpya (NEVs). China imeendelea kushikilia nafasi ya juu katika ukubwa wa soko la betri za nishati kwa miaka minane na kudumisha kwa miaka kumi mfululizo uwezo wa juu zaidi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua kupitia vifaa vilivyofungwa. Mafanikio haya yanaangazia mchango mkubwa wa viwanda vya uzalishaji bila uchafuzi vya China vinavyostawi katika kukabiliana na mabadiliko ya
28-04-2024
-
"Uuzaji nje wa bidhaa za kijani za China hudhuru uchumi wa nchi zingine"? Hakuna mantiki!
Hivi karibuni, baadhi ya watu nchini Marekani wamekuwa wakivumisha juu ya kinachoitwa "uzalishaji wa kupita mahitaji ya soko" wa China katika nishati mpya, wakidai kuwa "China ina uzalishaji kupita mahitaji ya soko katika 'bidhaa tatu mpya za kijani' zinazowakilishwa na magari yanayotumia nishati mpya, betri za lithiamu na bidhaa za kuzalisha umeme kwa jua. Ili kuuza bidhaa zilizozalisha kupita mahitaji ya soko lake, China imekuwa ikiuza nje kiasi kikubwa cha bidhaa zinazopotosha uhalisia wa sok
26-04-2024
-
Kauli ya "Kuuza Bidhaa nyingi Nje ni sawa na Uwezo wa ziada wa uzalishaji" Haina msingi wowote
Magari yanayotumia nishati mpya, betri za lithiamu, na bidhaa za kuzalisha umeme kwa nishati ya jua. Mwaka jana, thamani ya mauzo ya nje ya bidhaa hizo tatu mpya za China kwa mara ya kwanza ilizidi Yuan trilioni moja, ikiwa ni ongezeko la karibu asilimia 30. Watu wengi katika sekta ya uchumi wa kimataifa wameipongeza China kwa uhamasishaji wake thabiti wa mageuzi ya kijani. Hata hivyo, baadhi ya watu nchini Marekani wameipa jina sekta ya nishati mpya ya China kuwa ni “Uwezo wa ziada wa uzalishaj
25-04-2024
-
Ukuaji wa kasi wa uchumi wa China wasema hapana kwa kinachoitwa "kufika kilele cha ukuaji"
Katika miaka ya hivi karibuni, sehemu mbalimbali za China zimehamasisha “injini imara” za uvumbuzi, na kuharakisha uanzishaji na uendelezaji wa vichocheo vipya vya maendeleo. Hata hivyo, kuna baadhi ya watu wa Marekani na nchi za Magharibi wanaovaa “miwani ya rangi” na kudai kuwa “ukuaji wa uchumi wa China ni dhaifu na unakosa msukumo” na “ustawi wa China unakaribia mwisho.” Hoja kama hizo za “kufika kilele cha ukuaji” hazina mantiki kabisa. Zinapuuza ukweli wa kimsingi - uchumi wa China katika
04-03-2024
-
Shtusha sana! Takwimu hizi zaonyesha mabavu ya bunduki zinazotumiwa ovyo nchini Marekani mwaka 2023
Mwaka 2023, mabavu ya bunduki yalifanyika mara kwa mara nchini Marekani, ambapo misiba ya vifo na majeruhi ilitokea bila kusita. Kwa mujibu wa takwimu za Tovuti ya Nyaraka za Matukio ya Mabavu ya Bunduki ya Marekani zimeonesha kuwa, matukio ya ufyatuaji risasi kwa watu wengi yaliyosababisha vifo na majeruhi ya zaidi ya watu wanne kila mara yamefikia 656 nchini Marekani mwaka 2023, na kwa jumla kusababisha watu 42,920 kuuawa katika matukio mbalimbali yanayohusika na bunduki.
03-01-2024
-
Maoni ya Katuni kuhusu Sheria ya Kupunguza Mfumuko wa Bei ya Marekani: "Inakosesha"
Mchoraji wa katuni: Ma Hongliang (Katuni hii ni hakimiliki ya People's Daily Online, tafadhali usiichapishe bila idhini.) Hivi karibuni, serikali ya Marekani ilitoa maelezo kuhusu utekelezaji wa sera ya ruzuku ya magari yanayotumia nishati ya umeme chini ya "Sheria ya Kupunguza Mfumuko wa Bei." Kwa mujibu wa maelezo yake, magari ya umeme ya Marekani yanayoundwa na vipengele vya betri vilivyotengenezwa au kuunganishwa sehemu zake katika nchi kama vile China hayatasamehewa ushuru. Kitendo hiki ni
15-12-2023
-
Maoni: Kuweka dira mpya ya uhusiano wa China na Vietnam katika zama mpya
Kutokana na mwaliko wa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam Nguyen Phu Trong na Rais wa Jamhuri ya Kijamaa ya Vietnam Vo Van Thuong, Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), atafanya ziara ya kiserikali nchini Vietnam kuanzia Desemba 12 hadi 13. Hii ni mara nyingine tena kwa Rais Xi kutembelea Vietnam baada ya miaka sita iliyopita, na ziara hii imeendelea kufuata desturi nzuri ya viongozi wa vyama na nch
12-12-2023
-
Kufichua dhana potofu ya nchi za magharibi kuhusu Xinjiang
Katika miaka ya hivi karibuni, makundi yanayoipinga China ya nchi za Magharibi yametoa dhana potovu mara kwa mara ya "kutumikishwa kwa nguvu", kuipaka matope sura ya China duniani, kufifisha heshima ya China duniani, na kufitinisha uhusiano wa kirafiki kati ya China na nchi nyingine. Profesa Tursun Abai wa Chuo Kikuu cha Xinjiang alifanya uchunguzi zaidi ya habari 30,000 kuhusu Xinjiang zilizotolewa na vyombo 22 vya habari katika nchi na kanda 15 ili kufichua hoja ya uwongo ya ati "kutumikishwa
18-10-2023