-
Chai ya majira ya joto yakaribisha mavuno mazuri huko Jiande, Mkoa wa Zhejiang, China
Hivi karibuni, harufu ya chai ikinukia katika karakana ya kiwanda kidogo cha Gongfu cha Chai ya Yunxi cha Kijiji cha Qiucun cha Mji wa Wilaya ya Qiantan ya Mji wa Jiande, Mkoa wa Zhejiang. Wafanyakazi wakishughulikia utengenezaji wa majani mabichi ya chai, na wanaweza kutengeneza majani mabichi ya chai zaidi ya tani 5 kila siku. Kiwanda kidogo cha Gongfu cha Chai ya Yunxi ni kiwanda cha uzalishaji wa chai isiyo na uchafuzi. Katika miaka ya hivi karibuni, kwa kupitia kutoa mafunzo ya kiufundi, ku
12-08-2024
-
Katika picha: Walinzi wa miti iliyo hatarini kutoweka katika Mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa China
Miti mwitu ya Thuja sutchuenensis ni mimea maalum ya gymnosperm iliyo ya hatarini kutoweka nchini China, na imepata uhifadhi wa ngazi ya kwanza. Mwaka 1998, Shirikisho la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira lilitangaza kuwa Thuja sutchuenensis imetoweka, lakini mimea hiyo iligunduliwa tena katika Wilaya ya Chengkou mwaka 1999. Kwa sasa, idadi ya mimea mizima ya Thuja sutchuenensis duniani ni chini ya 10,000, na inatapakaa tu katika maeneo ya milima ya Eneo la Kaizhou na Wilaya ya Chengkou zilizok
12-08-2024
-
Maonesho ya Magari ya Kisasa yafunguliwa Shanghai
Maonesho ya China ya Magari ya Kisasa yanayounganishwa na mtandao na maonesho ya China ya magari ya kujiendesha yalifunguliwa Shanghai siku ya Alhamisi. Shughuli hiyo inafuatilia viwanda vya magari ya kisasa yanayotumia umeme, ikilenga kujenga jukwaa la biashara ya magari yanayotumia nishati mpya ndani ya kituo kimoja.
12-08-2024
-
Mafanikio kemkem ya mkutano ujao wa Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika yatarajiwa
Picha iliyopigwa tarehe 8, Mei, 2022 ikionesha sehemu ya Barabara ya mwendo kasi ya Nairobi, Kenya. (Picha na Xinhua) Wachunguzi wa Afrika walisema, mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika (FOCAC) utakaofanyika Septemba mwaka huu unatarajiwa kupata mafanikio kemkem, na kuendeleza kwa kina uhusiano kati ya China na Afrika. Alan Khan, msimamizi mwandamizi wa mambo ya kampuni wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Durban cha Afrika Kusini alisema, mkutano huo wa kilele utafanyika ku
12-08-2024
-
Kuleta Faida za Kitamaduni kwa Watu na kupelekea Opera maeneo ya vijijini Katika Mji Zhuji, Zhejiang, China
Hivi karibuni, kwa njia ya "watu kutoa oda, ukumbi kupokea oda, watu wa kujitolea kutekeleza oda", watu wa kujitolea katika Kijiji cha Tongshan, Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, China wamekuwa wakitoa huduma “jongefu” kwa wanakijiji, wakifanya maonyesho ya kuimba opera, maonyesho ya kucheza ngoma, maelezo ya uainishaji wa takataka, elimu ya kupinga ulaghai wa mtandaoni na shughuli nyinginezo kwa vijiji mbalimbali. Hali kadhalika, wanakijiji wanaweza kupata huduma bila malipo kama vile kukata nywe
09-08-2024
-
Tamasha la Sikukuu ya Nadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China
Katika shughuli za siku tano za Tamasha la Sikukuu ya Nadam ya watu wa kabila la Wamongolia, zitafanyika shughuli za michezo na tamasha za muziki. Shughuli za mbio za farasi, mieleka na kupiga mishale zimeanza jana Alhamisi huko Horqin Right Wing Front Banner, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China.
09-08-2024
-
Mkoa wa Shandong, China waendeleza mageuzi na maendeleo jumuishi ya bandari za pwani
Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umekuwa ukitumia kikamilifu maliasili yake baharini kuhimiza maendeleo na mageuzi jumuishi ya bandari za pwani, ili kujenga kundi la bandari za kiwango cha juu.
09-08-2024
-
Kwenda ufukweni kuepuka joto kali kwavutia watu wengi katika Mji wa Rizhao, Mkoani Shandong, China
Siku hizi, kuepuka joto kwenye kando za bahari za Mji wa Rizhao, Mkoa wa Shandong, China zilizopo katika pwani ya Bahari ya Manjano ya China, kunazidi kuvutia watu wengi. Bahari ya buluu, anga la buluu na ufukwe wazi vimevutia watalii wengi kwenda katika mji huo kwa ajili ya kujiburudisha na kucheza michezo ya ufukweni. (Mpiga picha: Guo Xulei/XINHUA)
09-08-2024
-
Chang ashinda medali ya dhahabu ya kwanza kabisa ya China ya mchezo wa ndondi kwa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
PARIS - Bondia wa China, Chang Yuan amefanikiwa kupata medali ya dhahabu ya mchezo wa ndondi kwa mabondia wanawake wenye uzito wa kilo 54 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris siku ya Alhamisi usiku katika uamuzi wa wazi kwa kauli moja dhidi ya Hatice Akbas wa Uturuki ambapo medali hiyo ya dhahabu ya Chang inamaanisha kuwa taji la kwanza kabisa la China katika mchezo wa ndondi kwa wanawake la Olimpiki. Chang alianza kurusha ngumi nyingi zaidi mfululizo katika raundi ya pili ili kushinda pointi kat
09-08-2024
-
Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa kabla ya maonyesho ya 7 ya CIIE wafanyika Shanghai
Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa ya kabla ya Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) umeanza kwenye Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano cha Shangai, Mashariki mwa China. Maonyesho hayo yamepangwa kufanyika huko Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi 10 mwaka huu.
09-08-2024