-
Chai ya majira ya joto yakaribisha mavuno mazuri huko Jiande, Mkoa wa Zhejiang, China
Hivi karibuni, harufu ya chai ikinukia katika karakana ya kiwanda kidogo cha Gongfu cha Chai ya Yunxi cha Kijiji cha Qiucun cha Mji wa Wilaya ya Qiantan ya Mji wa Jiande, Mkoa wa Zhejiang. Wafanyakazi wakishughulikia utengenezaji wa majani mabichi ya chai, na wanaweza kutengeneza majani mabichi ya chai zaidi ya tani 5 kila siku. Kiwanda kidogo cha Gongfu cha Chai ya Yunxi ni kiwanda cha uzalishaji wa chai isiyo na uchafuzi. Katika miaka ya hivi karibuni, kwa kupitia kutoa mafunzo ya kiufundi, ku
12-08-2024
-
Katika picha: Walinzi wa miti iliyo hatarini kutoweka katika Mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa China
Miti mwitu ya Thuja sutchuenensis ni mimea maalum ya gymnosperm iliyo ya hatarini kutoweka nchini China, na imepata uhifadhi wa ngazi ya kwanza. Mwaka 1998, Shirikisho la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira lilitangaza kuwa Thuja sutchuenensis imetoweka, lakini mimea hiyo iligunduliwa tena katika Wilaya ya Chengkou mwaka 1999. Kwa sasa, idadi ya mimea mizima ya Thuja sutchuenensis duniani ni chini ya 10,000, na inatapakaa tu katika maeneo ya milima ya Eneo la Kaizhou na Wilaya ya Chengkou zilizok
12-08-2024
-
Kuleta Faida za Kitamaduni kwa Watu na kupelekea Opera maeneo ya vijijini Katika Mji Zhuji, Zhejiang, China
Hivi karibuni, kwa njia ya "watu kutoa oda, ukumbi kupokea oda, watu wa kujitolea kutekeleza oda", watu wa kujitolea katika Kijiji cha Tongshan, Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, China wamekuwa wakitoa huduma “jongefu” kwa wanakijiji, wakifanya maonyesho ya kuimba opera, maonyesho ya kucheza ngoma, maelezo ya uainishaji wa takataka, elimu ya kupinga ulaghai wa mtandaoni na shughuli nyinginezo kwa vijiji mbalimbali. Hali kadhalika, wanakijiji wanaweza kupata huduma bila malipo kama vile kukata nywe
09-08-2024
-
Mkoa wa Shandong, China waendeleza mageuzi na maendeleo jumuishi ya bandari za pwani
Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umekuwa ukitumia kikamilifu maliasili yake baharini kuhimiza maendeleo na mageuzi jumuishi ya bandari za pwani, ili kujenga kundi la bandari za kiwango cha juu.
09-08-2024
-
Mfanyakazi Kijana wa kutunza nyaya za umeme unaotumiwa na treni za reli alinda safari za majira ya joto
Akiwa alizaliwa Mwaka 2000, Chen Chuyan ni mmoja kati ya wafanyakazi wanawake wachache wa kutunza nyaya za umeme unaotumiwa na treni za mwendokasi juu ya reli wa Kampuni ya Reli ya Guangxi Yanhai, Tawi la Qinzhou. Reli ya Yulin-Tieshangang ni sehemu muhimu ya Ukanda Mpya wa Biashara ya Nchi Kavu na Baharini wa Magharibi mwa China, na pia ni sehemu ambayo Chen na wenzake wanabeba jukumu la kutunza na kukarabati nyaya zake za umeme. Chen mara zote huwa anawahi mstari wa mbele na kufanya kazi ya ku
08-08-2024
-
Barabara iliyojengwa na China yabadilisha maisha ya akina mama katika maeneo ya vijijini katikati mwa Kenya
Picha ya droni iliyopigwa tarehe 3 Aprili 2024, ikionyesha mandhari ya jiji la Nairobi, Kenya. (Xinhua/Han Xu) NAIROBI – Simulizi ya Mercy Nyaguthii inaakisi hali ya akina mama wengi wa nyumbani, ambao walibaki nyumbani, wakisubiri waume zao wawape mahitaji. Mzaliwa wa kijiji chenye utulivu katikati mwa Kenya, Kaunti ya Nyeri, Nyaguthii, ambaye ni mama wa watoto watatu, angekuwa akifanya kazi duni kwa mapato kidogo au mbaya zaidi, akitumia muda mwingi wa siku bure, kwa kukosa kazi. Miaka mitatu
08-08-2024
-
Mji wa Zhuji wa China yaendeleza sekta ya matunda maalum ili kuwezesha ustawi wa vijiji
Kwa sasa ni msimu wa kuchuma pichi. Kijiji cha Huangjiadian cha Huangshan, Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, China kimeingia katika msimu mzuri wa mavuno, na matunda ya pichi yanaonekana yakining’inia kwenye matawi. Katika wakati huu, kuna mu karibia 1,000 (takriban hekta 66.67) za mashamba ya pichi katika Kijiji cha Huangjiadian, na kuna familia 10 kubwa zenye eneo la kupanda pichi lenye ukubwa wa zaidi ya mu 50 (hekta 3.33 hivi). Mwaka huu, mapato ya kijiji hicho kutokana na pichi ni karibu yuan
08-08-2024
-
Kambi ya mafunzo kwa wanafunzi wenye matatizo ya kuona yafikia tamati mjini Shanghai, China
Kambi ya mafunzo ya siku kumi kwa wanafunzi 20 wenye matatizo ya kuona wa vyuo vikuu kutoka sehemu mbalimbali za China imehitimishwa huko Shanghai, mashariki mwa China siku ya Jumatano Agosti 6, 2024. Wanafunzi hao 20 wenye matatizo ya kuona watafaa zaidi katika maisha yao yajayo ya chuo kwa uwezo wa kimwili na kiakili waliojifunza kwenye kambi hiyo ya mafunzo.
08-08-2024
-
Jeshi la Sudan lahamisha waumini 6 wa kanisa katoliki wa Italia kutoka Khartoum
KHARTOUM - Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza siku ya Jumanne kuwahamisha waumini sita wa kanisa katoliki wa Italia na raia 20 wa Sudan Kusini ambao walikuwa wamekwama kusini mwa Khartoum tangu kuzuka kwa vita mwezi Aprili mwaka jana. "SAF na Idara kuu ya Ujasusi (GIS) imehamisha watawa watano wa Jumuiya ya Wakatoliki wa Italia, kasisi kutoka Jumuiya ya Don Bosco ya Italia, na raia 20 wa Sudan Kusini kutoka kusini mwa Khartoum," Nabil Abdalla, msemaji wa SAF amesema katika taarifa. Watu hao walioh
07-08-2024
-
Majengo ya Nyumba ya Ganlan: Mtindo wa kipekee wa makazi ya watu wa kabila dogo la Wazhuang wa China
Kijiji cha Pingliu katika Wilaya ya Longlin, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China chenye historia ya zaidi ya miaka 200, ni kijiji kidogo cha watu wa kabila la Wazhuang ambacho kinapakana na mikoa jirani ya Yunnan na Guizhou. Miongoni mwa mila na desturi na mavazi vilivyohifadhiwa vizuri vya kabila hilo dogo la Wazhuang, ni makazi ya nyumba za kienyeji, nyumba za Ganlan, ambazo ni miundombinu ya makazi ya nyumba zilizojengwa kwa mbao, ni zenye mwonekano wa kipeke
07-08-2024