-
Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda
Eneo hilo maalum la viwanda, likiwa na thamani ya jumla ya uwekezaji wa Yuan bilioni 4 (Dola takriban milioni 557.7 za Kimarekani), ni eneo maalum la kwanza la viwanda vya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda hivyo nchini China.
09-08-2024
-
Uvunaji wa msimu wa kwanza na upimaji mazao ya mpunga unaozalishwa kwa kujirudia tena kwenye shamba linalojiendesha bila binadamu huko Yiyang, Mkoani Hunan, China
Jumatano, Agosti 7, Jumuiya ya Mazao ya Mkoa wa Hunan wa China iliandaa wataalam kufanya upimaji wa mazao ya uzalishaji wa msimu wa kwanza wa mpunga unaoweza kuzalisha mazao kwa kujirudia tena katika Shamba la Linalojiendesha Lenyewe Bila Binadamu la mpunga unaoweza kuzalisha mazao kwa kujirudia tena katika Eneo la Datonghu la Mji wa Yiyang, Mkoa wa Hunan. Kwa mujibu wa tathmini ya kundi la wataalam hao, kiasi cha mavuno ya eneo hilo la majaribio ya mpunga unaoweza kuzalisha mazo kwa kujirudia t
08-08-2024
-
Maombi ya China ya hataza za kijani yafikia zaidi ya 50% na kuongoza duniani
Abiria wakipanda basi linalotumia umeme la kampuni ya magari ya BYD mjini Cape Town, Afrika Kusini, Februari 28, 2024. (Picha na Xabiso Mkhabela/Xinhua) BEIJING - Mchango uliotolewa na China kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Dunia umeonekana kwenye ongezeko kubwa la hataza zake, huku ripoti ya hivi karibuni ya Mamlaka ya usimamizi wa Hakimiliki ya Ufunifu ya China ikisema kuwa China imepata nafasi ya kwanza katika idadi ya maombi yaliyotolewa ya hataza za teknolojia za kijani na zenye kutoa kab
08-08-2024
-
Eneo maalum la zamani la Viwanda lajizatiti kustawi tena kupitia uvumbuzi
Picha iliyopigwa Agosti 1, 2024 ikionesha vifaa vya kisasa vikiwa kwenye “Shamba linalojisimamia bila ya Binadamu” katika eneo la kielelezo la kitaifa la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu ya kilimo la Changchun lililopo Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China. (Xinhua/Li He) Mchana wenye joto kali wa siku moja ya Julai, mjini Changchun, mji mkuu wa Mkoa wa Jilin, moja ya maeneo kiini cha kilimo ya China, mapinduzi ya kimyakimya yalikuwa yakijitokeza, yakibadilisha taswira ya
07-08-2024
-
China yarusha kwa mafanikio kundi jipya la satalaiti kwenda anga ya juu
TAIYUAN - China imetuma kundi jipya la satalaiti kwenda anga ya juu siku ya Jumanne kutoka Kituo cha Kurusha Satalaiti cha Taiyuan katika Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa nchi hiyo ambapo satalaiti hizo 18 ni kundi la kwanza la kizazi cha kwanza cha satalaiti za Spacesail ambazo zitawapa watumiaji wa kimataifa huduma za intaneti ya kasi ya kuchakata data kubwa kwa haraka, kasi kubwa na yenye ufanisi mkubwa, Kampuni ya Great Wall ya China ambayo ni mtoaji huduma hiyo imesema. Satalaiti hizo zilirush
07-08-2024
-
Wanasayansi wapata maendeleo makubwa katika kudhibiti maradhi yanayoletwa na mbu
Picha iliyopigwa Agosti 2, 2024 ikionesha mashine ya kiotomatiki ambayo inaweza kutenganisha kwa ufanisi mbu jike na dume katika Kampuni ya Wolbaki Biotech ya Guangzhou, China. (Xinhua) Timu ya utafiti inayoundwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Michigan, Marekani, Chuo Kikuu cha Jinan, China na kampuni ya teknolojia ya kibiolojia ya Wolbaki ya Mjini Guangzhou, China imeunda kifaa cha kiotomatiki, chenye uwezo wa kutenganisha mbu dume na jike kwa ufanisi, hatua ambayo ni maendeleo maku
05-08-2024
-
Injini ya kutumia umeme inayojiendesha yenyewe bila dereva yakamilika kuundwa huko Xi’an, China
Inafahamika kuwa, chombo hicho hutumika zaidi katika mazingira ya kazi ya ndani ya handaki, kikiwa kimefungwa vifaa vya kamera zenye kupiga picha za ubora wa juu, lada ya kukusanya data kwa usahihi wa juu zaidi na vifaa vingine. Kina uwezo wa ukwepaji kiotomatiki wa vizuizi na kujitambua hitilafu zake chenyewe na uwezo mwingine, kikiweza kuonesha data husika na kujiendesha bila ya dereva katika mchakato mzima wa “kupakia, kuhamisha na kupakua”. Picha na Zhang Bowen/Xinhua
05-08-2024
-
China yarusha satalaiti ya aina mpya ya huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu
XICHANG - China imetuma imerusha satalaiti ya aina mpya ya utoaji huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu siku ya Alhamisi kutoka Kituo cha Urushaji Satalaiti cha Xichang kilichoko Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China ambako satalaiti hiyo imerushwa majira ya saa 3:14 usiku (Saa za Beijing) ikibebwa na roketi ya Changzheng 3B na kufaulu kuingia kwenye obiti yake iliyopangwa kwenye anga ya juu. Urushaji huo unamaanisha safari ya 529 ya kutekeleza jukumu ya mfululizo wa roketi za Cha
02-08-2024
-
Chombo cha AS700 cha kuendeshwa angani cha China chakamilisha safari kielelezo ya kuruka anga ya chini
HUBEI - Utalii kwenye anga ya chini nchini China unaingia katika njia mpya wakati ambapo chombo cha AS700 cha kuendeshwa angani chenye umbo la puto kilichoundwa nchini China kimefanikiwa kufanya safari yake ya kwanza ya kielelezo siku ya Alhamisi asubuhi, ambapo chombo hicho kilipaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Zhanghe huko Jingmen, Mkoa wa Hubei wa China, kuonyesha ufanisi na uwezo wake katika kuhudumia utalii kwenye mbingu. Safari hiyo kielelezo ya chombo hicho ilidumu kwa saa takriban mbili, iki
02-08-2024
-
Eneo Jipya la Lanzhou, China ladumisha ukuaji wa viwanda
Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo Jipya la Lanzhou limeanzisha miradi 1,080 ya sifa bora ya viwanda ikiwa na uwekezaji wenye thamani ya yuan jumla ya bilioni 528 (dola karibu bilioni 72.8 za Kimarekani), na ongezeko la kila mwaka la thamani ya nyongeza ya viwanda limedumisha asilimia zaidi ya 50. Kuanzia Mwaka 2011 hadi 2023, Pato la Jumla (GDP) la Eneo Jipya la Lanzhou limeongezeka kutoka chini ya yuan milioni 500 (sawa na dola za Marekani milioni 69) hadi yuan bilioni 37.5 (sawa na dola za M
29-07-2024