-
Uwekezaji wa kuvunja rekodi waashiria ukuaji wenye nguvu wa eneo la Magharibi ya China
Watu wakihudhuria hafla ya ufunguzi wa Maonyesho ya Sita ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya Eneo la Magharibi ya China mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Mei 23, 2024. (Xinhua/Wang Quanchao) CHONGQING - Rekodi ya juu ya miradi mikubwa 196 imetiwa saini kwenye Maonyesho ya Sita ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya Eneo la Magharibi ya China, ambayo yamefunguliwa Alhamisi mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, huku miradi kutoka nchi na maeneo 12 ikipangwa kuanzishwa kati
24-05-2024
-
Maonyesho ya kimataifa ya mambo ya kitamaduni yafunguliwa katika Mji wa Shenzhen, Kusini mwa China
SHENZHEN - Maonyesho ya 20 ya Kimataifa ya Mambo ya Kitamaduni ya China (Shenzhen) (ICIF) yamefunguliwa Alhamisi katika mji wa Shenzhen, kusini mwa China ambapo kwa mara ya kwanza, maonyesho hayo ya siku tano yameanzisha maonyesho ya kimataifa ya biashara ya utamaduni, yakiwa na eneo la maonyesho linalochukua eneo la ukubwa wa mita za mraba 20,000. Ukumbi mkuu wa maonyesho hayo ni katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Kimataifa cha Shenzhen. Yanajumuisha mabanda manane yanayojikita katika m
24-05-2024
-
Eneo la kujionea na kujaribu ana kwa ana teknolojia za kisasa la Mkutano wa 7 wa China ya Kidijitali lafunguliwa Fujian
Mkutano wa 7 wa China ya Kidijitali utafanyika Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini-Mashariki mwa China kuanzia leo Mei 24 hadi 25. Eneo la kujionea na kujaribu ana kwa ana teknolojia za kisasa la Mkutano huo, linalochukuka eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 56,000, likijumuisha sehemu kuu tano, limefunguliwa katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Fuzhou Strait siku ya Alhamisi.
24-05-2024
-
Mjasiriamali wa Chongqing awapa watu wenye ulemavu wa kusikia uwezo wa kuwasiliana vyema na dunia
Tian Ye ni mfanyabiashara mwenye ulemavu wa kusikia, kampuni yake, Kampuni ya Teknolojia ya Chongqing Yuermeng, imeunda jukwaa la kubadilishana utamaduni na uzoefu kuhusu jamii yenye ulemavu wa kusikia, pamoja na kamusi ya lugha ya ishara. Kampuni hiyo inatoa video 8,000 za kufundisha lugha ya ishara na imeanzisha mfumo wa mwongozo wa lugha ya ishara kwenye maeneo ya umma. Mfumo huu tayari unatumika katika majumba tisa ya makumbusho mjini Chongqing, na kunufaisha watu zaidi ya milioni 10. Asilim
24-05-2024
-
Jeshi la Ukombozi wa Umma la China lafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kuzunguka Kisiwa cha Taiwan
NANJING - Kamandi ya Kivita ya Mashariki ya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) imefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kuzunguka kisiwa cha Taiwan kuanzia saa 1:45 asubuhi ya leo Alhamisi ambapo mazoezi hayo yanafanyika katika Mlango Bahari wa Taiwan, kaskazini, kusini na mashariki mwa kisiwa cha Taiwan, pamoja na maeneo karibu na visiwa vya Kinmen, Matsu, Wuqiu, na Dongyin. Li Xi, Msemaji wa kamandi hiyo, amesema vikosi vya kijeshi vikiwa pamoja na jeshi la nchi kavu, jeshi la majini, jeshi
23-05-2024
-
‘Wahusika wa Filamu ya Transformers’ wabadilisha taaluma mjini Chongqing, China na kuunda magari!
Timu ya utafiti na mahojiano ya Gazeti la People’s Daily Online ya "Songa China" ya Chongqing imeingia katika kiwanda cha magari cha Chang’an cha Liangjiang, China, Mei 20. Katika kiwanda hicho, michakato muhimu inafanyika kiotomatiki kwa asilimia 100, na bidhaa zake zinauzwa sehemu mbalimbali duniani. Timu hiyo ipo tayari, ikiwa na data thabiti na hamasa kazini. Ninahisi hali ya teknolojia na siku za baadaye inayoletwa na "uzalishaji bidhaa" na "uzalishaji bidhaa kwa kutumia teknolojia za kisas
23-05-2024
-
Waziri wa Usalama wa Umma wa China akutana na waziri wa mambo ya ndani wa Burundi
Waziri wa Usalama wa Umma wa China, Wang Xiaohong akikutana na Martin Niteretse, waziri wa mambo ya ndani, maendeleo ya jamii na usalama wa umma wa Burundi, mjini Beijing, China, Mei 22, 2024. (Xinhua/Yue Yuewei) BEIJING - Waziri wa Usalama wa Umma wa China, Wang Xiaohong amekutana na Martin Niteretse, waziri wa mambo ya ndani, maendeleo ya jamii na usalama wa umma wa Burundi siku ya Jumatano mjini Beijing, akisema kuwa China ingependa kufanya juhudi pamoja na Burundi katika kuimarisha urafiki n
23-05-2024
-
Mji wa Shanghai watoa kadi za kulipia kabla ili kurahisisha wasafiri kutoka nchi za nje
Watalii wanaonekana kwenye picha wakielekea kwenye Jumba la Makumbusho ya Shanghai, Mashariki mwa China, tarehe 22 Mei, 2024. (Xinhua/Chen Aiping) SHANGHAI – Mji wa Shanghai ulioko Mashariki mwa China umetoa Kadi ya Shanghai, ambayo ni kadi ya matumizi mbalimbali kwa ajili ya wasafiri, ili kuwezesha malipo rahisi kwa wasafiri wanaoingia mjini humo na wageni wengine ambao hawapendi kufanya malipo kwa njia ya simu. Ikiwa na salio la juu la yuan zaidi ya 1,000 (kama dola 140 za Kimarekani), kadi ya
23-05-2024
-
J.P. Morgan yaongeza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa China Mwaka 2024 hadi asilimia 5.2
Picha hii iliyopigwa tarehe 4 Novemba 2023 ikionyesha mwonekano wa Mji wa Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Jianhua) SHANGHAI - Zhu Haibin, mwanauchumi mkuu wa China katika Kampuni ya kimataifa ya mambo ya fedha na uchumi ya J.P. Morgan, amekadiria kuwa uchumi wa China utakua kwa asilimia 5.2 Mwaka 2024, kutoka asilimia 4.9. Mwanauchumi huyo ametangaza makadirio yake hayo yaliyohuishwa kwenye Mkutano wa kilele wa Kimataifa wa J.P. Morgan China mjini Shanghai siku ya Jumatano. Zhu amese
23-05-2024
-
Hali ya Maisha mjini Xi’an ni nzuri iliyoje
Wakati wa jioni, ukitembelea kwenye Soko la Enzi ya Tang la uwazi wa usiku kucha, unaweza kuona watu wengi wanaovaa mavazi ya kijadi ya China wakipiga picha karibu na ukuta mwekundu. “Nahisi kama nimepita katika wakati wa enzi ya zamani! Nataka kurekodi urembo wangu kwenye hali nzuri ya jioni ya “Mji wa Chang’an (uliokuwa Mji Mkuu wa China katika Enzi ya Tang) ”. alisema Bibi Su, mtalii anayetoka Mji wa Chongqing. Katika Mtaa wa watu wa Kabila la Wahui, kuna vyakula vya aina mbalimbali, kama vil
23-05-2024