-
Hayati Rais wa Iran Raisi azikwa katika mji wa nyumbani kwake wa Mashhad
TEHRAN - Hayati Rais wa Iran Ebrahim Raisi, ambaye alipoteza maisha katika ajali ya helikopta hivi karibuni, amezikwa siku ya Alhamisi katika madhabahu takatifu ya Imam Reza katika mji wa nyumbani kwao, Kaskazini Mashariki mwa mji wa Mashhad ambapo mwili wake pamoja na ile ya maofisa wawili wa timu aliyokuwa ameambatana nayo, iliwasili na kuzikwa katika hafla ya mazishi iliyofanyika mapema siku hiyo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Iran, IRNA, miili hiyo iliwasili katika uwanja wa ndege wa ki
24-05-2024
-
Katibu Mkuu wa UN atoa wito wa mchango wa Afrika katika usanifu wa mfumo wa amani na usalama wa Dunia
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, (UN) Antonio Guterres (Mbele) akiongea katika mkutano wa baraza la usalama kwenye makao makuu ya UN huko New York, Mei 23, 2024. (Manuel Elias/Picha ya UN / Xinhua) UMOJA WA MATAIFA - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres siku ya Alhamisi wakati wa mjadala wa wazi wa Baraza la Usalama juu ya kuimarisha mchango wa Afrika katika kukabiliana na changamoto za usalama na maendeleo ya Dunia, amesema kuna haja ya kuuweka ushiriki na uongozi wa Afrika katika
24-05-2024
-
Norway, Ireland na Hispania zatangaza kutambua rasmi nchi ya Palestina
Picha hii iliyopigwa kwenye skrini ya video iliyotolewa na Serikali ya Norway inamuonyesha Waziri Mkuu wa Norway Jonas Gahr Store akihudhuria mkutano na waandishi wa habari huko Oslo, mji mkuu wa Norway, Mei 22, 2024. (Serikali ya Norway/ Xinhua) OSLO - Norway, Ireland na Hispania zimetangaza Jumatano kwamba zitaitambua rasmi Palestina kuwa nchi huru. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari huko Oslo, Waziri Mkuu wa Norway Jonas Gahr Store amesema Norway inaunga mkono kuipa Palestina h
23-05-2024
-
Ushirikiano wa BRI unakumbatia mwelekeo wa kihistoria wa utandawazi wa kiuchumi: Wataalam
Wataalamu kutoka Bangladesh na China wakihudhuria mkutano wa majadiliano huko Dhaka, Bangladesh, Mei 20, 2024. (Xinhua) DHAKA - Ushirikiano wa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) unaendana na mwelekeo wa kihistoria wa utandawazi wa kiuchumi, unaitikia wito wa kuboresha mfumo wa usimamizi wa kimataifa, na unakidhi matarajio ya watu kwa maisha bora ambayo ni sababu kuu ya kwa nini umekuwa na nguvu siku zote, wamesema wataalamu wa Bangladesh. Makumi ya wazungumzaji kutoka sekta mbalimbali nc
22-05-2024
-
Nchi za Mashariki ya Kati zatoa rambirambi kufuatia vifo vya rais na waziri wa mambo ya nje wa Iran
CAIRO - Viongozi wa nchi za Mashariki ya Kati wametuma salamu za rambirambi kwa Iran kufuatia vifo vya Rais Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na maofisa wengine waliokuwa wameambatana naye kwenye ajali ya helikopta siku moja kabla. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Ahmed Aboul-Gheit amesema kupitia ujumbe wake kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X kwamba "Natoa rambirambi zangu kwa watu wa Iran kwa vifo vya Raisi, Amir-Abdollahian, na maofisa wengine kufuatia a
21-05-2024
-
Rais wa Iran pamoja na Waziri wake wa Mambo ya Nje wafariki katika ajali ya helikopta
TEHRAN –TEHRAN - Rais Ebrahim Raisi wa Iran na Waziri wake wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian wamefariki katika ajali ya helikopta, vyombo vya habari mbalimbali vimeripoti siku ya Jumatatu ambapo, shirika la habari la Iran, Mehr limethibitisha kutokea kwa vifo hivyo, likiripoti kwamba "abiria wote wa helikopta iliyokuwa imembeba rais wa Iran na waziri wake wa mambo ya nje wameuawa kishujaa." Awali Makamu wa Rais wa Iran anayehusika na masuala ya Utendaji Mohsen Mansouri alikiambia kituo ch
20-05-2024
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China afanya mazungumzo na mwenzake wa Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, akifanya mazungumzo na January Yusuf Makamba, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania mjini Beijing, China, Mei 17, 2024. (Xinhua/Liu Bin) BEIJING - Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amefanya mazungumzo na January Yusuf Makamba, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania mjini Beijing siku ya Ijumaa iliyopita ambapo amekaribisha ziara hiyo ya Makamba nchini China wakati wa maadhimisho ya miaka
20-05-2024
-
Mahakama ya Umoja wa Mataifa yasikiliza ombi la Afrika Kusini dhidi ya operesheni za Israel huko Gaza
THE HAGUE, Uholanzi - Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imefungua usikilizaji wa kesiwa siku mbili siku ya Alhamisi kuhusu ombi la Afrika Kusini la kusitisha mashambulizi ya kijeshi ya Israel huko Gaza ambapo Balozi wa Afrika Kusini nchini Uholanzi Vusimuzi Madonsela amewaambia majaji kuwa nchi yake imerejea mahakamani "kutokana na Wapalestina wanaendelea kuuawa, mpaka sasa zaidi ya 35,000 hadi sasa wameuawa, na sehemu kubwa ya Gaza ikiwa imgeuzwa vifusi." "Israel inaendelea kudharau maisha ya
17-05-2024
-
Warizi Mkuu wa Slovakia aripotiwa kuwa katika hali ya mahututi baada ya kupigwa risasi
Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico ameripotiwa kuwa katika hali mahututi baada ya kupigwa risasi mjini Handlova, eneo la Trencin nchini Slovakia. Mshukiwa aliyezuiliwa papo hapo anaripotiwa kuwa mzee wa miaka 71. Shirika la Habari la Slovakia TASR limemnukuu makamu mwenyekiti wa bunge la Slovakia Lubos Blaha akisema kuwa tukio hilo limetokea wakati wa kikao cha bunge. Bunge hilo limeahirishwa hadi itakapotangazwa tena. Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha TA3, tukio hilo limetokea katika mji
16-05-2024
-
Walinzi wa Pwani ya China watoa tahadhari kwa meli za Ufilipino zinazoingia bila kibali
Walinzi wa Pwani ya China wametoa tahadhari kwa njia ya redio siku ya Jumatano kwa meli za Ufilipino zinazoingia kwenye maji yaliyo chini ya mamlaka ya China. Katika siku hiyohiyo, akijibu swali la vyombo vya habari vya kigeni kuhusu boti za wavuvi za Ufilipino zinazotoka Ufilipino kuelekea kwenye maji ya jirani ya Huangyan Dao katika Bahari ya China ya Kusni, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Wang Wenbin, amesema kuwa Huangyan Dao siku zote ni eneo la China, na China ina mamlaka yasiyo
16-05-2024