-
China kuzindua shughuli za nchi nzima za kuendeleza urithi wa kitamaduni
Watu wakicheza ngoma ya jadi kwenye shughuli za kusherehekea Siku ya Urithi wa Kitamaduni na Kiasili ya China katika Mji wa Kale wa Xiasi wa Kaili, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Juni 10, 2023. (Picha na Zou Guangxue/Xinhua) BEIJING - Shughuli zaidi ya 10,000 za kuendeleza urithi wa kitamaduni usioshikika zitafanyika kote nchini China katika kipindi cha kukaribia Siku ya Urithi wa Kitamaduni na Kiasili ya China, a
31-05-2024
-
Kenya yawa mwenyeji wa mkutano wa pamoja wa taasisi za Confucius barani Afrika
Wanafunzi wakitumbuiza kwenye mkutano wa pamoja wa taasisi za Confucius barani Afrika katika Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya, Mei 30, 2024. (Xinhua/Wang Guansen) NAIROBI - Mkutano wa Pamoja wa Mwaka 2024 wa Taasisi za Confucius barani Afrika ulioandaliwa kwa pamoja na Mfuko wa Kimataifa wa China wa Elimu ya Lugha ya Kichina, Chuo Kikuu cha Nairobi, ambacho ni chuo kikuu kikongwe zaidi nchini Kenya, na Taasisi yake ya Confucius umeanza siku ya Alhamisi mjini Nairobi, Kenya, ili kujadili ushirikiano
31-05-2024
-
“Sisi ni Marafiki”: Urafiki wa China na Serbia waimarika kwa kupitia Katuni
Hivi karibuni, shughuli ya kuonesha filamu za katuni za Serbia ilifanyika katika Kituo cha Mawasiliano ya Kitamaduni cha Serbia hapa Beijing, ambapo filamu hizi bunifu zilipigiwa makofi ya furaha na watazamaji. Wajumbe wa Chuo cha Filamu ya Katuni cha Vranje cha Serbia wameleta filamu 10 za katuni zenye maudhui tofauti na mitindo tofauti kuja kuzionesha nchini China, ambapo wamejadiliana na wadau wa nyanja za filamu za katuni za China na watazamaji wa China. Mwalimu mkuu wa Chuo cha Filamu ya Ka
07-05-2024
-
Makumbusho ya Liangzhu: Eneo la kuufahamu ustaarabu mzuri wa China wa miaka 5,000 iliyopita
Timu ya wanahabari ya People’s Daily Online ya “kutazama China” hivi karibuni imetembelea Liangzhu kujionea ustaarabu wa zama za kale wa China. Jumba la Makumbusho ya Ustaarabu wa Liangzhu lipo ndani ya Bustani ya Meilizhou, Mtaa wa Liangzhu, eneo la Yuhang, Mji wa Hangzhou katika Mkoa wa Zhejiang, China. Jumba hilo ni makumbusho ya eneo la kiakiolojia inayokusanya, kutafiti, kuonesha na kueneza mambo ya ustaarabu wa Liangzhu. Magofu ya Liangzhu ni sehemu muhimu sana ambayo inathibitisha histori
26-04-2024
-
Kutazama Makumbusho ya Ustaarabu wa Liangzhu ndani ya sekunde 30
Tarehe 22, Aprili, timu ya waandishi wa habari wa People's Daily Online ya “Kutazama China” iliingia Makumbusho ya Ustaarabu wa Liangzhu kutembelea mabaki ya kale ya makumbusho hayo na kuhisi umuhimu wa ustaarabu wa Liangzhu katika kipindi cha kuanza kwa ustaarabu wa China. Makumbusho hayo yapo kwenye eneo la Yuhang la Mji wa Hangzhou, China. Ni makumbusho ya eneo la kiakiolojia linalohusisha kazi za kuhifadhi, kufanya utafiti, kuonesha na kueneza utamaduni wa Liangzhu. Utafiti wa kiakiolojia un
25-04-2024
-
Kutembelea Bustani ya Akiolojia ya Magofu ya Liangzhu ya China
Bustani ya Akiolojia ya Magofu ya Liangzhu ya China inachukua eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 14.33 hivi. Makumbusho ya Ustaarabu wa Liangzhu, Bustani ya Urithi wa Mji wa Kale wa Liangzhu, Bustani ya Urithi ya Yaoshan na Bustani ya Urithi ya Laohuling kwa pamoja huunda mfumo kamili wa kuonesha thamani ya urithi wa dunia wa mji wa kale wa Liangzhu. Watembeleaji wanaweza kutazama uzuri wa ustaarabu wa Liangzhu wa miaka 5,000 iliyopita kwa kupitia uoneshaji wa mabaki ya kale, uoneshaji wa ma
25-04-2024
-
Teknolojia ya AR yafanya mabaki ya kale katika Makumbusho ya Ustaarabu wa Liangzhu “yajongee”
Makumbusho ya Ustaarabu wa Liangzhu, ambayo yameorodheshwa kwenye Urithi wa Kitamaduni wa Dunia na “ushahidi wa historia ya miaka 5,000 ya ustaarabu wa China”, ni makumbusho ya kwanza duniani kutumia teknolojia ya AR katika kufahamisha utangulizi watembeleaji. Tarehe 22, Aprili, mwandishi wa habari wa People’s Daily Online alivaa miwani ya AR ya kufanya utangulizi na alikuwa na umbali wa mguso wa karibu na ustaarabu wa Liangzhu: ramani ya makumbusho hayo ilijionyesha mbele ya macho yake, na maba
25-04-2024
-
Namna gani vyombo vya kupikia chakula vya Wachina vilionekana miaka 5,000 iliyopita?
Miaka 5,300 hadi 4,300 iliyopita, kulikuwa na ustaarabu wa Liangzhu kwenye eneo la Ziwa Taihu katika sehemu ya chini ya Mto Yangtze, Kusini mwa China. Ustaarabu huo ulikuwa ni wa mapema zaidi kugunduliwa nchini China. Makumbusho ya Ustaarabu wa Liangzhu yaliyopo eneo la Yuhang la Mji wa Hangzhou, China yanasimuliza simulizi ya mafanikio ya ustaarabu na mambo ya kijamii ya kipindi cha Liangzhu. Ujuzi wa tasnia ya ufinyanzi wa vyombo vya udongo wakati huo ulikuwa tayari umeendelea sana. Hebu fuata
25-04-2024
-
Mbinu za kikemikali na kibaolojia zasaidia kurejesha vitabu vya kale katika hali ya awali kaskazini mwa China
TIANJIN – Katika Maktaba ya Tianjin katika Mji wa Tianjini, Kaskazini mwa China vinahifadhiwa vitabu vya kale 590,000, na maktaba hiyo imekuwa ikifanya kazi ya kurejesha vitabu hivyo vya kale katika hali ya awali kwa zaidi ya miaka 70, ambapo Gao Xuemiao mwenye umri wa miaka 38 ambaye ni mtaalam wa kwanza wa kurejesha vitabu vya kale katika hali ya awali kwa taaluma ya kemia tangu kuanzishwa kwa maktaba hiyo Mwaka 1978, anaongoza timu ya kurejesha vitabu hivyo vya kale katika hali ya awali kweny
24-04-2024
-
Siku ya wapendanao ya Watu wa Kabila la Wamiao yasherehekewa katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
TAIJIANG – Ikiwa inatambuliwa kama urithi wa kitaifa wa kitamaduni usioshikika wa China, Siku ya Madada wa Kabila la Wamiao, ambayo inachukuliwa kuwa Siku ya Wapendanao ya Kabila la Wamiao imeanza rasmi katika Wilaya ya Taijiang, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China siku ya Jumamosi na itaendelea hadi Mei 5 mwaka huu. Sherehe ya Siku hiyo inafanyika kila mwaka karibia siku ya 15 ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya kilimo ya China.
22-04-2024