Bustani ya kitaifa ya ardhioevu ya Zhejiang, China yafanya juhudi za kuboresha mazingira ya kiikolojia

人民网

      (Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 17, 2024

      Katika miaka ya hivi karibuni, bustani ya kitaifa ya ardhioevu ya Ziwa Baita katika Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China imekuwa ikitekeleza miradi ya kurejesha ikolojia ili kuboresha mazingira ya ikolojia ya ardhioevu hiyo na kuhimiza hali ya masikilizano kati ya binadamu na mazingira ya asili.

1/9