-
Chama Tawala cha ANC cha Afrika Kusini chapata viti 159 katika Bunge la Taifa
(Picha inatoka photo.thepaper.cn) JOHANNESBURG - Chama tawala cha Afrika Kusini, African National Congress (ANC) kimepata viti 159 kati ya 400 katika Bunge la Taifa la Afrika Kusini kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2024, Tume Huru ya Uchaguzi (IEC) imetangaza rasmi jana Jumapili jioni huku chama kikuu cha upinzani, Democratic Alliance (DA), kikishika nafasi ya pili kwa viti 87, kikifuatiwa na Chama cha Umkhonto WeSizwe (MK) chenye viti 58 na kile cha Economic Freedom Fighters (EFF) kilichopata viti
03-06-2024
-
Miradi ya China yaleta utajiri katika Sahara
Mtaalamu wa China akiwaelekeza wafanyakazi wenyeji kupanda miche ya Juncao kwenye kituo cha kielelezo cha teknolojia ya ufugaji nchini Mauritania, Mei 27, 2024. (Xinhua YINCHUAN - Zhang Hong'en alifungasha sanduku la miche ya nyasi kutoka Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, Kaskazini Magharibi mwa China, kusafiri maelfu ya maili hadi nchi ya Mauritania, Afrika Magharibi na kuipanda kwenye udongo. Katika kipindi cha muda wa siku 50 tu, nyasi hizo za “maajabu” zilikua hadi kufikia ur
03-06-2024
-
Ofisa Mwandamizi wa Bunge la Umma la China atembelea Namibia
WINDHOEK - Cai Dafeng, naibu mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Umma la China, amefanya ziara nchini Namibia kuanzia Mei 30 hadi Juni 2 kutokana na mwaliko wa Bunge la Namibia. Katika ziara yake hiyo ya siku nne, Cai alifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah, Spika wa Bunge Peter Hitjitevi Katjavivi, na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Namibia, Lukas Sinimbo Muha. Cai amesema kuwa China na Namibia zimekuwa marafiki na washirika wazuri tangu kuanzishwa kwa uh
03-06-2024
-
Kenya yawa mwenyeji wa mkutano wa pamoja wa taasisi za Confucius barani Afrika
Wanafunzi wakitumbuiza kwenye mkutano wa pamoja wa taasisi za Confucius barani Afrika katika Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya, Mei 30, 2024. (Xinhua/Wang Guansen) NAIROBI - Mkutano wa Pamoja wa Mwaka 2024 wa Taasisi za Confucius barani Afrika ulioandaliwa kwa pamoja na Mfuko wa Kimataifa wa China wa Elimu ya Lugha ya Kichina, Chuo Kikuu cha Nairobi, ambacho ni chuo kikuu kikongwe zaidi nchini Kenya, na Taasisi yake ya Confucius umeanza siku ya Alhamisi mjini Nairobi, Kenya, ili kujadili ushirikiano
31-05-2024
-
Wataalamu wakutana nchini Kenya kujadili sera za kodi barani Afrika
Wataalamu wanakutana Nairobi, Kenya kuanzia siku ya Jumatano kujadili mikakati ya kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupitia hatua madhubuti za kodi barani Afrika. Mkutano huo wa 9 wa Kodi Afrika wa mwaka 2024 ambao utafanyika kwa siku tatu umeleta pamoja ujumbe wa watu zaidi ya 200, wakiwemo wasimamizi wa kodi wa Afrika na washirika wa maendeleo, kushughulikia masuala muhimu ya kodi kama vile mapato kutokana na biashara za kuvuka mipaka. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Kenya, Humphr
30-05-2024
-
Timu ya matibabu ya China na shirika la hisani waleta furaha kwa watoto wa Zimbabwe
Kundi la 21 la Timu ya Madaktari wa China nchini Zimbabwe kwa kushirikiana na shirika la hisani la Chinese Loving Mum, wameandaa shughuli maalum ya watoto mjini Harare, kabla ya ujio wa Siku ya Kimataifa ya Watoto. Shughuli hiyo iliyofanyika katika Nyumba ya Watoto ya Hossana Love in Africa iliyoko kwenye kitongoji cha kaskazini cha Harare, imeleta furaha kwa watoto wa shule ya msingi, ambao wameweza kushiriki kwenye michezo mbalimbali ikiwemo kujifunza aina moja ya mazoezi ya viungo ya kichina
30-05-2024
-
Watu zaidi milioni 74 wakabiliwa na hali ya ukosefu wa usalama wa chakula katika pembe ya Afrika
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa siku ya Jumatano na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Mamlaka ya Kiserikali kwa ajili ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (IGAD), watu takriban milioni 74.9 katika eneo la Pembe ya Afrika wanakabiliwa na hali ya ukosefu mkubwa wa usalama wa chakula na wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu. Ripoti hiyo imesema kati ya idadi hiyo, watu milioni 46.8 wanatoka nchi saba kati ya nchi nane wanachama wa IGAD zikiwemo Djibouti, Kenya, Somalia, Sud
30-05-2024
-
Raia wa Afrika Kusini wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu
JOHANNESBURG - Waafrika Kusini wamepiga kura siku ya Jumatano asubuhi kwenye uchaguzi mkuu wa Mwaka 2024 nchini humo ambapo wapiga kura zaidi ya milioni 27 walikuwa wakitarajiwa kupiga kura kwenye vituo zaidi ya 23,000 nchini kote kuchagua Bunge jipya la Kitaifa na majumbe wa mabaraza ya majimbo, kwa mujibu wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini (IEC). Uchaguzi huo wa kitaifa na majimbo wa Mwaka 2024 unaoambatana na maadhimisho ya miaka 30 ya uhuru na demokrasia nchini Afrika Kusini, ni uchag
30-05-2024
-
Kenya na China kuimarisha ushirikiano wa kibiashara wakati ambapo uhusiano kati ya China na Afrika unaongezeka
Wakati uhusiano wa kibiashara kati ya Kenya na China ukiendelea kupanuka, Kenya iliandaa mkutano wa kiuchumi na kibiashara siku ya Jumatatu mjini Nairobi na kushirikisha wajumbe wa ngazi ya juu kutoka mji wa Shenzhen nchini China. Mkutano huo pia ulivutia wawakilishi wa kampuni karibu 100 za biashara za ndani na wawakilishi wa China wanaoishi ng'ambo kutoka Shirikisho la Wafanyabiashara wa Kenya. Rais wa Shirikisho la Kitaifa la Wafanyabiashara na wenye Viwanda la Kenya, Eric Ruto, amesema kampu
29-05-2024
-
Tanzania yashinda Mashindano ya TEHAMA China
Vijana watatu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) nchini Tanzania Ndaki ya Teknolojia za Habari na Mawasiliano (TEHAMA), wameibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 26 mwezi huu huko Shenzhen, China. Vijana hao Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos ambao wana ujuzi katika uhandisi wa kompyuta, TEHAMA na mawasiliano ya simu, walishiriki katika mashindano hayo yaliyoshindanisha wanafunzi zaidi ya 470 kutoka nchi 49 duniani. Kufu
29-05-2024