-
Habari picha: Maisha ya mwalimu kujitolea kwenye elimu katika Kijiji cha Shenyang, China
Ma Rusong mwenye umri wa miaka 84, aliwahi kuwa mwalimu katika shule ya sekondari ya Dalun iliyoko Taizhou, Mkoa wa Jiangsu, nchini China. Alirudi katika Kijiji cha Shenyang alikozaliwa Mwaka 2001. Kutokana na kuwepo kwa watoto wengi walioachwa kijijini hapo na wazazi ambao ama wamefariki au kwenda mijini kufanya kazi, aliamua kutoa masomo bila malipo kwa watoto hao katika nyumbani kwake. Alitoa masomo ya hisabati, fizikia na kemia siku za wikendi na likizo za shule, na pia kutilia maanani afya
02-08-2024
-
Kampuni ya China yakabidhi msaada wa vifaa vya kazi nzito kuboresha barabara nchini Ghana
Kampuni ya utengenezaji wa mitambo mikubwa ya China LiuGong, imekabidhi vifaa zaidi ya 2,200 vya kazi nzito kwa serikali ya Ghana kuunga mkono Mpango wa Uboreshaji wa Barabara za Wilaya nchini Ghana (DRlP). Vifaa hivyo ni pamoja na magreda, matingatinga, mashine za kuchanganya zege, mashine za kushindilia, malori ya kubeba mchanga na maboza, vilivyonunuliwa na serikali ya Ghana kwa ajili ya ukarabati wa barabara. Wakati wa hafla ya makabidhiano Rais Nana Akufo-Addo amesema mradi huo unaashiria h
01-08-2024
-
Hohhot, Mji maarufu wa kihistoria wa China kwenye Njia ya Kale ya kusafirisha Chai
Mji wa Hohhot wa Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, China uliokaribia Mlima Daqing upande wa kaskazini na kukaribia Mto Manjano upande wa kusini, historia ya ujenzi wake imekuwa na zaidi ya miaka 2,400. Mji wa Hohhot uko kwenye njia muhimu ya usafirishaji tangu enzi za kale. Wakati wa Enzi za Ming na Qing, ulikuwa kituo cha kijeshi na kibiashara na makutano muhimu ya mjini kwenye Njia ya Kale ya Farasi kusafirisha Chai (Tea Horse Road). Mawasiliano na Mafungamano katika tamaduni za mbugani
30-07-2024
-
Kimbunga Gaemi chasababisha mafuriko, uharibifu katika sehemu mbalimbali za China
FUZHOU/SHENYANG - Kimbunga Gaemi, ambacho ni kimbunga cha tatu kwa mwaka huu kuikumba China, kimesababisha mafuriko na uharibifu katika sehemu mbalimbali za China, ikiwemo mkoa wa mashariki wa Fujian, na mkoa wa kaskazini mashariki wa Liaoning ambapo kimbunga hicho kimeathiri wakaazi 766,900 katika Mkoa wa Fujian, na kusababisha hasara ya moja kwa moja ya kiuchumi inayozidi yuan bilioni 1.6 (dola za Kimarekani karibu milioni 224.35). Hali hiyo itatathminiwa zaidi, imesema ofisi ya kuzuia na kudh
30-07-2024
-
Watu waliokwama kwenye makazi yaliyokumbwa na mafuriko wahamishwa katika Mkoa wa Hunan, China
Helikopta kadhaa zilitumwa siku ya Jumatatu kupeleka maji ya kunywa, mchele, mboga mboga, dawa na mahitaji mengine muhimu ya kila siku katika baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na maafa katika Mji wa Zixing, Mkoa wa Hunan katikati mwa China na kuhamisha watu kwa mafanikio waliokuwa wamekwama kwenye makazi yaliyokumbwa na mafuriko.
30-07-2024
-
Shindano la tambi chachu za unga wa mchele lafanyika Kusini mwa China
LINGSHUI - Tambi chachu za unga wa mchele za Lingshui ni tambi maarufu za kienyeji katika Mji wa Lingshui, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China na ziliorodheshwa kuwa mali ya urithi wa mkoa wa utamaduni usioshikika Mwaka 2009. Hivi karibuni shindano la kupika tambi limefanyika katika mji huo wa Lingshui ili kutangaza shughuli za tambi chachu hizo za unga wa mchele.
29-07-2024
-
Mashindano ya kimataifa ya boti za matanga yamalizika huko Dalian, China
DALIAN - Mashindano ya kwanza ya Kimataifa ya Boti za Matanga kwa Majeshi ya Majini, yaliyoandaliwa na jeshi la majini la China, yamemalizika siku ya Alhamisi huko Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China, ambapo timu mbili kutoka Chuo cha Jeshi la Majini cha Dalian cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA), pamoja na timu ya Jeshi la majini la Russia, zimekuwa washindi wa nafasi tatu bora za mbele kulingana na alama zao za jumla. Timu jumla ya 16 za wanajeshi wa majini kutoka
26-07-2024
-
Sikukuu ya Jadi ya Mwenge ya Watu wa Kabila la Wayi yafanyika Kusini Magharibi mwa China
Sikukuu ya Mwenge ya watu wa kabila la Wayi imekuwa ikisherehekewa katika Wilaya ya Butuo ya Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China kuanzia Julai 21 hadi 24, ambapo zimefanyika shughuli mbalimbali zikiwemo maonyesho ya mavazi, sherehe ya kupiga kambi kuzunguka mioto, mashindano ya michezo ya jadi ya kikabila, kucheza ngoma na mashindano ya urembo wa jadi ili kuvutia watembeleaji na watalii kutoka sehemu mbalimbali nchini China.
25-07-2024
-
Watoto wa kimataifa wafanya mawasiliano ya sanaa kaskazini mwa China
Watoto kutoka kundi la Sanaa la Uzbekistan wakitembelea maonyesho ya picha za kuchorwa ya Tamasha la Kimataifa la Sanaa la Watoto la Tianjin Mwaka 2024 mjini Tianjin, Kaskazini mwa China, Julai 22, 2024. (Xinhua/Zhao Zishuo) TIANJIN - Tamasha la Sanaa la Kimataifa la Watoto la Tianjin Mwaka 2024 lenye kaulimbiu ya "Amani, Urafiki, Siku za Baadaye," limeanza siku ya Jumatatu jioni katika mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, likivutia wasanii watoto zaidi ya 1,000 kutoka vikundi zaidi ya 50 vya sa
24-07-2024
-
Watalii watembelea eneo lenye mandhari nzuri la Mlima Fairy la Chongqing, China
Likitegemea hali yake safi ya hewa na mazingira ya asili ya kupendeza, eneo hili lenye mandhari nzuri la Mlima Fairy, lililoko kwenye mwinuko wa mita 1,100 hadi 2,033 kutoka usawa wa bahari, limekuwa kivutio maarufu kwa watu kukwepa joto kali la majira ya joto.
24-07-2024