-
Kuleta Faida za Kitamaduni kwa Watu na kupelekea Opera maeneo ya vijijini Katika Mji Zhuji, Zhejiang, China
Hivi karibuni, kwa njia ya "watu kutoa oda, ukumbi kupokea oda, watu wa kujitolea kutekeleza oda", watu wa kujitolea katika Kijiji cha Tongshan, Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, China wamekuwa wakitoa huduma “jongefu” kwa wanakijiji, wakifanya maonyesho ya kuimba opera, maonyesho ya kucheza ngoma, maelezo ya uainishaji wa takataka, elimu ya kupinga ulaghai wa mtandaoni na shughuli nyinginezo kwa vijiji mbalimbali. Hali kadhalika, wanakijiji wanaweza kupata huduma bila malipo kama vile kukata nywe
09-08-2024
-
Tamasha la Sikukuu ya Nadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China
Katika shughuli za siku tano za Tamasha la Sikukuu ya Nadam ya watu wa kabila la Wamongolia, zitafanyika shughuli za michezo na tamasha za muziki. Shughuli za mbio za farasi, mieleka na kupiga mishale zimeanza jana Alhamisi huko Horqin Right Wing Front Banner, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China.
09-08-2024
-
Mkoa wa Shandong, China waendeleza mageuzi na maendeleo jumuishi ya bandari za pwani
Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umekuwa ukitumia kikamilifu maliasili yake baharini kuhimiza maendeleo na mageuzi jumuishi ya bandari za pwani, ili kujenga kundi la bandari za kiwango cha juu.
09-08-2024
-
Kwenda ufukweni kuepuka joto kali kwavutia watu wengi katika Mji wa Rizhao, Mkoani Shandong, China
Siku hizi, kuepuka joto kwenye kando za bahari za Mji wa Rizhao, Mkoa wa Shandong, China zilizopo katika pwani ya Bahari ya Manjano ya China, kunazidi kuvutia watu wengi. Bahari ya buluu, anga la buluu na ufukwe wazi vimevutia watalii wengi kwenda katika mji huo kwa ajili ya kujiburudisha na kucheza michezo ya ufukweni. (Mpiga picha: Guo Xulei/XINHUA)
09-08-2024
-
Chang ashinda medali ya dhahabu ya kwanza kabisa ya China ya mchezo wa ndondi kwa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
PARIS - Bondia wa China, Chang Yuan amefanikiwa kupata medali ya dhahabu ya mchezo wa ndondi kwa mabondia wanawake wenye uzito wa kilo 54 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris siku ya Alhamisi usiku katika uamuzi wa wazi kwa kauli moja dhidi ya Hatice Akbas wa Uturuki ambapo medali hiyo ya dhahabu ya Chang inamaanisha kuwa taji la kwanza kabisa la China katika mchezo wa ndondi kwa wanawake la Olimpiki. Chang alianza kurusha ngumi nyingi zaidi mfululizo katika raundi ya pili ili kushinda pointi kat
09-08-2024
-
Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa kabla ya maonyesho ya 7 ya CIIE wafanyika Shanghai
Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa ya kabla ya Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) umeanza kwenye Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano cha Shangai, Mashariki mwa China. Maonyesho hayo yamepangwa kufanyika huko Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi 10 mwaka huu.
09-08-2024
-
Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda
Eneo hilo maalum la viwanda, likiwa na thamani ya jumla ya uwekezaji wa Yuan bilioni 4 (Dola takriban milioni 557.7 za Kimarekani), ni eneo maalum la kwanza la viwanda vya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda hivyo nchini China.
09-08-2024
-
Mfanyakazi Kijana wa kutunza nyaya za umeme unaotumiwa na treni za reli alinda safari za majira ya joto
Akiwa alizaliwa Mwaka 2000, Chen Chuyan ni mmoja kati ya wafanyakazi wanawake wachache wa kutunza nyaya za umeme unaotumiwa na treni za mwendokasi juu ya reli wa Kampuni ya Reli ya Guangxi Yanhai, Tawi la Qinzhou. Reli ya Yulin-Tieshangang ni sehemu muhimu ya Ukanda Mpya wa Biashara ya Nchi Kavu na Baharini wa Magharibi mwa China, na pia ni sehemu ambayo Chen na wenzake wanabeba jukumu la kutunza na kukarabati nyaya zake za umeme. Chen mara zote huwa anawahi mstari wa mbele na kufanya kazi ya ku
08-08-2024
-
Uvunaji wa msimu wa kwanza na upimaji mazao ya mpunga unaozalishwa kwa kujirudia tena kwenye shamba linalojiendesha bila binadamu huko Yiyang, Mkoani Hunan, China
Jumatano, Agosti 7, Jumuiya ya Mazao ya Mkoa wa Hunan wa China iliandaa wataalam kufanya upimaji wa mazao ya uzalishaji wa msimu wa kwanza wa mpunga unaoweza kuzalisha mazao kwa kujirudia tena katika Shamba la Linalojiendesha Lenyewe Bila Binadamu la mpunga unaoweza kuzalisha mazao kwa kujirudia tena katika Eneo la Datonghu la Mji wa Yiyang, Mkoa wa Hunan. Kwa mujibu wa tathmini ya kundi la wataalam hao, kiasi cha mavuno ya eneo hilo la majaribio ya mpunga unaoweza kuzalisha mazo kwa kujirudia t
08-08-2024
-
Mnyanyua vyuma wa China apata medali ya dhahabu ya Olimpiki, timu ya kuogelea kwa mtindo wa sarakasi ya China yaweka historia
Li Fabin wa China akishindana kwenye mchezo wa kunyanyua uzani kwa wanaume wenye uzito wa kilo 61 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris Agosti 7, 2024. (Xinhua/Yang Lei) PARIS – Wachezaji wa kunyanyua vyuma wa China Li Fabin na Hou Zhihui, ambao wote ni mabingwa watetezi wa Michezo ya Olimpiki, wamehifadhi mataji yao kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024, huku China pia ikinyakua medali yake ya kwanza kabisa ya dhahabu katika mchezo wa kuogelea kwa mtindo wa sarakasi siku ya Jumatano. Baada ya
08-08-2024